SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
- Thread starter
- #361
Sawa.Adi purukushani zote za big ndoo haingii tu kuhusika?
Achana na hilo ulipo safiri mkeo hakuwa anakupa mikasa ya hapo home?
Achana na hilo sikuona ushiriki wa mkeo kwenye ajari ya jirani yako
Apo umetupiga boss