Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Wanakosoa ila hawaachi kusoma...na hawaachi kutazama kama mwendelezo umetumwa au lah.
sema humu skuizi sijui kupoje..
ujue zamani hatukuaga na complain za ajabu ajabu
mbasubiri mtu anakuja kupost mnasoma maisha yanaenda.. umeweka story kibao ila hii utapata changamoto za huo ujinga
yani wanataka mtu usifanye mambo mengine
 
sema humu skuizi sijui kupoje..
ujue zamani hatukuaga na complain za ajabu ajabu
mbasubiri mtu anakuja kupost mnasoma maisha yanaenda.. umeweka story kibao ila hii utapata changamoto za huo ujinga
yani wanataka mtu usifanye mambo mengine
@princess ariana acha niwafanyie wanaopenda, najua wako wengi. Si vizuri nikawakatili kwasababu ya watu wachache ambao hawawezi kukosekana popote pale.
 
Siku nikileta story humu ikatokea mtu akashupaza shingo kunikosoa kama naye alikuwepo kwenye matukio yaliyonitokea, nitaomba mods waniruhusu kwa muda nimshughulikie huyo mtu kabla sijaenda mbele.

Makubwa jinga yamekuwa mengi humu. Story imemlenga zaidi big na familia yake, mtu anataka aelezwe kila kitu.
 
kuna watu wanafikiri wao wanavolala saa4 basi wote ndo hivyo, mtu kama Steve ninavoelewa anasubiri Mke na mtoto wakishalala yeye ndo anaweka zile movie zetu sasa za blood red sky mpaka usiku mwingi, kwahiyo hizo pilika zinapoanza most of time anakuwa macho wakati huo familia imelala na haina habari,
Anatom.ba saa ngapi? This is a basic need
 
Adi purukushani zote za big ndoo haingii tu kuhusika?

Achana na hilo ulipo safiri mkeo hakuwa anakupa mikasa ya hapo home?

Achana na hilo sikuona ushiriki wa mkeo kwenye ajari ya jirani yako


Apo umetupiga boss
Nadhani huko mbele atakuja kueleza kuwa mkewe ni mlemavu, hajiwezi na amelala tu kitandani au amefungiwa kabatini kama Maya. Maana kwa simulizi hii jamaa anaonekana anaishi kama Bachelor.
 
Nashangaa watu mnapenda story alf kutwa kukosoa kama hupend story usisome tengeneza yako ilio kamili story ikiisha ndo toa comment watu mnasoma story kutafta weakness while hamjawah andika hata story moja
Huwa tunakopi na kwenda kuhadidhia kule facebook na kujifanya sisi ndio watunzi na tunapata ujiko sana. Sasa kule wanatupiga maswali mengi tunashindwa kujibu tunaonekana waongo.[emoji1][emoji1][emoji1] Ile ya umughaka ilinipa ujiko sana kule na views na likes za kutosha [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom