Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Yeye mwenyewe msimuliaji anajikaanga ila baada ya wadau ku point out mapungufu ameanza kujirekebisha.
Watu mna discourage sana, muache mtu aandike kile alichonuwia at first place, atakosolewa baada ya story kuisha, akiwa anaandika baada ya kila criticism story inalala upande wa wale waliopinga, so anakuwa analisha matarajio yao.
 
Ujuaji wetu unavuka mipaka, binafsi sisomi sana hizi riwaya, ila hii na ile ya BM zimenivutia.
 
Kasema anakuwa analinda bodaboda yake anayolaza hapo nje.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uzi umevamiwa na vibwengo.

Kwenye fictional literature kuna minor (secondary) character ambaye yeye yupo kusaidia main character na kusaidia kusukuma plot events forward.
For that case mke wa jamaa ni minor character ambavyo kimsingi minor character si lazima kuhusishwa/kutajwatajwa kwenye matukio ni endapo tu inabidi kumhusisha.
Ndicho anachokifanya bwana SteveMollel.
Umeshajua ana familia, period. Utaona mke wake na mtoto baadaye maana hawa ni supporting characters hawana kipaumbele kwenye matukio, kama kuhusika (kutajwa) watahusika (watatajwa) kwenye plots za muhimu tu.
 
Jamani ee kwenye fasihi Kuna wahusika wakuu na wahusika napa mhusika bapa anaweza akaonekana maramoja tu kwenye stori, mhusika wetu mkuu hapa ni Big na ndugu msimuliaji basii tukomae na Jao nyiemnaotaka amtaje mkewe mnataka nini Kwa huyo mke?
 
Ndo maana kuna jamaa alitutosa na ile CHAI yake ya lindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…