Ndugu Mollel, nimepitia posts nyingi za chalenji humu na nimegundua wengi wao hawana nia mbayaukiangalia kwa jichola 3.Na kuna sehemu yoyote nimekuandikia kuwa ni kweli? Au hisia zako tu?
Unataka kuniambia baada tu ya watu kumsema hivyo haraka haraka tu akaenda kwenye uhariri wake na akaweka nafasi ya mwanamke,point yako haijakaa sawa,pia stori yetu sana inahusu maisha ya Big na yeye pia ndo nyota wa hadithi yetu.Kwa mazingira ya hadithi yenyewe (mazingira ya nyumbani) ilivyo haiwezekani aslani kuikwepa nafasi ya mke licha ya mara kwa mara kula kwa mama Bembela, kwa maneno mengine angalisema mkewe wakati huo alikuwa na udhuru gani kiasi kwamba ashindwe kumtaja lakini wakati huo huo amtaje mke wa Bigi, sasa huoni hivi sasa kashtukia mchezo/mapungufu na kaanza kumuhusisha mkewe!!, je huko nyuma huyo mkewe alikuwa wapi??
NB:Unataka kuniambia baada tu ya watu kumsema hivyo haraka haraka tu akaenda kwenye uhariri wake na akaweka nafasi ya mwanamke,point yako haijakaa sawa,pia stori yetu sana inahusu maisha ya Big na yeye pia ndo nyota wa hadithi yetu.
Ah...inakeraga...enzi zetu wewe hujazaliwa movie ni full ubabe undava undava ...kama yalikiwepo mapenzi basi ni kwa namna isiyochefua nafsi..enzi za kina cynthia...Wewe na princess ariana hamjui vitu vizuri kabisa hata kiss?
Enzi zako gani ambazo mimi sijashuhudia hapa bongo? Au umezaliwa Ulaya wewe?Ah...inakeraga...enzi zetu wewe hujazaliwa movie ni full ubabe undava undava ...kama yalikiwepo mapenzi basi ni kwa namna isiyochefua nafsi..enzi za kina cynthia...
NimechekaEnzi zako gani ambazo mimi sijashuhudia hapa bongo? Au umezaliwa Ulaya wewe?
Usinidanganye Mrs Tundu Lissu😂😂
Ah...inakeraga...enzi zetu wewe hujazaliwa movie ni full ubabe undava undava ...kama yalikiwepo mapenzi basi ni kwa namna isiyochefua nafsi..enzi za kina cynthia...
tusimulie basi story ilikuwa nzuri balaaMambo kama hizi zilinifanya mimi nikaachana na story yangu ‘Nilivyokwenda South Africa bila kuwa na ndugu wala rafiki kule’
Watu humu wana ujuaji mwingi wakati mtu anaelezea story ya kweli ya maisha yake
Hisia zangu zipo sahihi. Hii story umeitunga kizembe, sio kwa sababu haulipwi kuandika story humu basi ndio uje na uongo. Tuliza kichwa, leta story ya kweli, Kama huna pita kushotoNa kuna sehemu yoyote nimekuandikia kuwa ni kweli? Au hisia zako tu?
Epesode zenyewe hazina maanastory ya huyu jamaa haina tofauti na series za kihindi. mara nyingi huwa na visa vingi ambavyo ni useless ktk movie. lengo lao ni kurefusha urefu wa series ili iwe na episode nyingi.
Huyu ni muongo, toka mwanzo gakumtaja Ila baadae baada ya kuulizwa sana ndio akaanza kumtaja tena kwa sehemu ambazo hata hazina issueSasa si wanataka atajwe...mbona hatuna jema binadamu....
Kwa hiyo mnataka atajwe au asitajwe?Huyu ni muongo, toka mwanzo gakumtaja Ila baadae baada ya kuulizwa sana ndio akaanza kumtaja tena kwa sehemu ambazo hata hazina issue
Teh teh...Masai wamekuvurugaNa kuna sehemu yoyote nimekuandikia kuwa ni kweli? Au hisia zako tu?
Hii ndio comment iliyo na kichwa,kiwili wili na miguu..Ndugu Mollel, nimepitia posts nyingi za chalenji humu na nimegundua wengi wao hawana nia mbayaukiangalia kwa jichola 3.
Nakushauri uwe na moyo wa kiume na uhesabu kama changamoto za kukufanya uwe bora zaidi katika utunzi au usimuliaji wako.
Mwisho; kuwa mwanaume usiyeondolewa kwenye lengo kirahisi