Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Na nyinyi madogo mnakera aiseèeeeh aaha, yaani kila mtu anaongelea hoja hii hii.Yani kuna watu wanajua kukatisha tamaa wenzao eeeh.
Comment zinaonyesha ni jinsi gani akili za watu zimetawaliwa na ngono.
Tuacheni ujuaji na ubinafsi muhusika mkuu kweny stry ni BiG lkn wapumbavu wengi wanataka mke wa jamaa ndo atajwe,
Mbona watu humu ndani washenzi kias hiki.
Kusoma haujalazimishwa iwe imetungwa au haikutungwa sasa kisebengo na kisedemnede cha nin alf sana wanaume ndo wanashobo kali kweli wakiitwa wenzetu wanachukia.
Ukiona stry ya mwenzio haifai tunga yako tuone kama utawezana punda maji ww.[emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955]
Huo ni udick-tetaUshauri kwa mods na developers wa jf, waweke option kwa muanzisha uzi ya kuzuia comment
Huu ndio uanaume wenyewe Sasa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Majira ya jioni tunaendelea.
Hii reply inaashiria wewe sio mtu wa kawaidaNimeeleza kwa kina lifestyle yangu na changamoto niliyokuwa nayo kwenye upande wa usafiri wangu na pia udhaifu wa makazi tulokuwapo.
Ungeweza kulala fofofo huku umeacha chombo ambacho hakipo locked na mahali pana kadhia ya vibaka mara kwa mara? Huku miundombinu ikiwa so rafiki?
Anyways mkuu, tunatofautiana maisha, akili na tabia.
Napokea vyote maua na mawe.
Do you mean 2 tell us you are a white man..??Hadithi yangu mbovu na ya kijuaji ni ipi??-- roho yako ni mbaya tu kama korosho.
Kutoa maoni imekuwa nongwa??
Truly, blackness of a black man skin does not merely rest on his skin but also in his brain.--- what you expose is a sure sign of blackness in your grey matter.
Uchawi+ujinga= joblessHii Tabia mtu akileta kisa chake Au hadithi yake watu wanaanza kuropoka nakudiss, hivi hii Tabia chanzo chake ni nini?!
Mtu anasoma vizur tu then anaanza kubishana na msimuliaji duh! Et Anaweka dought.
Huu ndio uchawi wenyewe.
🤣🤣Kwa negativity ninayoiona kupita comments za hii thread naomba kusema UCHUMI WA KATI tutaufikia tumechoka sana..
😂😂😂😂Tayari ameisha fanyia kazi kipengele hicho. Ameanza kumuingiza na mkewe. Bado mtoto wake, baba na mama mkwe wake. Na wazazi wake hawa nao asiwasahau sana maana atatupa shida ya kuanza kumkumbusha kuwa je hakuwa na wazazi au wakwe.
Watauliza mimba alipata kule walikohama au hapo Goba vipi mbona hujasma kama alikuwa anatapika tapika 😂😂😂Aisee nchi ina vijana hatari sana, walimtaka mke mke kawekwa wamesema kawekwa unnecessarily damn, jamaa kasema mkewe ana mimba Mf's watakuja sasaivi kusema mbona hukutuambia ulivyomkaza
akajaa, wanadamu hawana jema, and this is the true definition of the society we live in. The communities are fckd up, full of snitches and Mf's who always think of you negatively no matter what good you do to them, take it or leave it this country is full of b>ch a$$ ni66as. Somo la kujifunza, do whatever you do ila kumbuka in whatever you do YOU'RE ON YOUR OWN.... Remember that, always always...
😂😂😂😂Wakosoaji walitaka jamaa asimulie kua
, Wakati namnyandua mke wangu nikasikia kishindo nje nikachomoa rungu nikakimbilia dirishani, nilipoona hakuna kitu nikarudi nikaendelea kumpelekea moto mke wangu
Mkuu SteveMollel ulicheza vizuri sana kutuletea hii bonus story.Majira ya jioni tunaendelea.
We maku acha kujifanya mjuaji, leta story yako hata ya mistari mitatu kibhumbu wahed wewe..Huyu ni muongo, toka mwanzo gakumtaja Ila baadae baada ya kuulizwa sana ndio akaanza kumtaja tena kwa sehemu ambazo hata hazina issue
Yerooo subhai late story we baba yoyooMajira ya jioni tunaendelea.
Do you mean 2 tell us you are a white man..??
We kama unakereka log out.Na nyinyi madogo mnakera aiseèeeeh aaha, yaani kila mtu anaongelea hoja hii hii.
Wanakwaza sanaBaambie baelewe my mdogo
🤣🤣🤣🤣Sikuona hyo sema kuna watu humu ndani 🤣🤣🤣🤣🤣Kuna mtu kule juu kauliza eti kama bigi yupo jf, mwingine kamwambia mleta mada kuwa eti saa sita imefika bigi anamsubiri korongoni waende wakayajengenge 😂😂😂, daaah Tanzania ni hatari sana aisee 😂😂😂, wao wanajua kila kitu yan we wape kichwa cha habari maelezo watajazia wenyewe daaah acha kabisa