Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Nimejiuliza Mambo mengi Sana
1. Kwann yule Bibi alikuambia vile? Mazingira ya hiyo zahanati hapana nyumba ya karibu kiasi kwamba ushindwe kumkuta njiani kwa muda mchache uliyopishana nae baada ya wewe kuruhusiwa kurudi nyumbani na Big
Kimazingira ya kawaida huwezi kwenda hospitali private bila pesa na endapo ukiwa mgonjwa Sana unahudumiwa baadae unalipia na kwa umri wake usiku ule kwenda hospitali peke yake ni changamoto

2. Kwanini mke wa big akukate jicho kiasi kile? Kwenye kikao

3. Mwili wa mke wa big kuwa wabaridi Sana mithili ya maiti

4. Ulijificha chooni big akahisi Kuna mtu means machale yalimcheza


Haya tupo twasubiri muendelezo
 
Aisee BIG ni mchawi plus anafuga misukule ndani[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Picha limeanza tayari, hebu nivute kigoda kabisa.
 

Nikionaga hizi mambo za ITAENDELEA basi mi huwa naishia hapohapo na hiyo story.

Kwanini hawawezi kuandika kisa kimoja kwenye post mara moja...???
To yeye Akimaliza naomba summary.

Huyo BIGI ni mchawi au mwizi?


#YNWA
 
Nikionaga hizi mambo za ITAENDELEA basi mi huwa naishia hapohapo na hiyo story.

Kwanini hawawezi kuandika kisa kimoja kwenye post mara moja...???
To yeye Akimaliza naomba summary.

Huyo BIGI ni mchawi au mwizi?


#YNWA
Maandishi yakiwa marefu sana, yanachosha pia. Alaf pia raha ya simulizi, ikupe muda wa kutafakari na mshawasha wa yajayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…