Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Nimeishia hapo hapo sisomi vitu vya ajabu
 
Basi mkuu nimeiona kwenye JF ya zamani. Hii mpya naona kuna shida mahala. Waheshimiwa wakuu wahusika,JF ya zamani iko vizuri sana,ni rahisi kufika,ni rahisi kufungua iko shap. Yaani kwa ujumla inaeleweka kuliko hii mpya
Kumbe tunaoteseka ni wengi[emoji23]
 
Asante
 
Issue jamaa amewateka sana watu kisaikologia,watu wengi wanataka kujua hatma ya BiG tu yan kama wao wangekua ni watunzi story ingeisha zamani sana,sasa mr stev ukiwa unaadisia kuusu BIG mfano "Big alivyokua barabara akajikwaa" watu wengi wanataka kuusu BiG kilitokea nn baada ya apo na sio uelezee kuusu ubora wa iyo njia ndoman watu wengi hulalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…