Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Bangi
 
Daaah..inawezekana alijibana pua kwny shuka au kitu kizito akashindwa kujinasua maskini..ndo ikapelekea kukosa pumzi na ile hangaika kajinyea..japo ni mawazo yangu pia inaweza kuwa mambo yetu ya kienyeji mweee...pole yake jamani
 
Toeni stress hapa kwa wale ambao hawajawahi soma hiiπŸ‘‡

Daaah..inawezekana alijibana pua kwny shuka au kitu kizito akashindwa kujinasua maskini..ndo ikapelekea kukosa pumzi na ile hangaika kajinyea..japo ni mawazo yangu pia inaweza kuwa mambo yetu ya kienyeji mweee...pole yake jamani
Itakuaa labda.. watoto wadogo nao ni wa kuangaliwa sana!
 
hatuna stress.
 
Inaelekea saa 4 hii bilabila😴😴😴😴😴😴😴
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hii nchi bhana
 
Nimecheka Hadi tumbo limeniuma πŸ˜‚πŸ˜‚looh
 
Leo tutaendelea majira ya usiku. Sipunguzi chochote wala kuongeza chochote, ukiona haiendani na matakwa yako, ignore au endelea tu kuteseka nayo.
Hivi hii ilimaanisha usiku wa leo au wa kesho?
 
Hii labda ni usiku wa kesho, wacha nipumzishe fuvu mie πŸšΆβ€β™‚οΈ 😴
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…