Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Mmh nyie haya mambo
 
Biggy, Biggy Poper [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Big kauwa mtoto wetu, dah!! Oya noma sana
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hii ya tukibaki hai nilikua nimeiweka pending isogee sogee kwanza,naona kama naachwa mbali sana,ngoja nianze kukimbia nayo SAA hii ili tuende sawa
Huko jenipha ashaliwa kichwa, Hilda tushamsahau,Bryson mke kamkimbia,Mitchell ni mfungwa,Dr lambert anatumika upande wa mabeberu
 
Pole sana ila huyo ndugu yako si alijifungua salama? Kama alijifungua salama waache wawange kwa maana hauwaoni wanajitia bize wenyewe tu[emoji28]
 
Dui kumbe!
 
Mkuu kama humjui huyu Dr namugari utajisumbua bure sio kwamba dish limeyumba tu Bali liliyumba alafu likaanguka chini na hapo chini halipo kiufupi hakuna channel yoyote inayokamata....ni watu fulani hivil
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji2][emoji2][emoji2]yaani kuna watu humu sipati picha walimu wao walikuwa wanatumia njia gani kuwafundishia ili waelewe japo kidogo wooi[emoji119]


Wewe mwalimu wako alitumia njia gani??, au ulifundishwa na malaika??
 
Hii story ya Big ni vizuri episodes zake ziwe zinaletwa usiku kama huu ndiyo inakua mizuka.
Kuzileta mchana, asubuhi au jioni wala zunakua hazinogi
 
Story imejaa uongo mtupu. Naona leo umeshindwa kutungwa uongo
Kama umegundua kuna uongo basi umeifatilia kwa makini sana kwa kila nukta...na pamoja umegundua kua uongo bado ukuacha kusoma mpaka umemaliza episode ya mwisho pasipo na kuboeka...means nzuri imekubamba mkuu.

Sio kila kitu lazima ukichukulie u-serious..
Wengi tumependezwa na huu uongo..

Mkuu shusha nondo arosto imetukamata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…