Watunzi wanapenda hivyo watu wanavyojibishana.Watu wangepunguza kuchat katika hizi nyuzi za story.
Mtu unaacha page ya 60 ukifungua unakuta page ya 80, unajipa matumaini ya kukutana na episode kadhaa halafu unaambulia mi comment ya watu tu inayotongozana na kukosoa uzi.