ni wana tu wale wa kitaa dizaini kuna siku waliniona sasa wakaweka kambi kuniotea maana mama yeyo ana ndg zake pale walimwambia kina fulani walipiga mtu aliekuwa anakuja kusunda mavi kichochoroni asijue kuwa aliepigwa n shemla wake na hayo mavi na ya ndugu yake yapogo. so walivotajwa hao kina fulani nikajikuta nawajua ile ya kuwaonaga make walivkua wananibunda walikua wanasema mtu unasajili lain af una mambo ya kisengerema so ni kama tunajuana ila ile siku sikuwatambua kwa wenge la kipigo na kumbuka walinirushia fuko la puu mgongoni so nipo chapachapa hapoUlikuwa unawajua some of them au wote mlikuwa hamjuani?
Daah, mzee hii unavyosimulia inachekesha sana... ila pole ndugu yangu.. tunajifunza kwa namna mbali mbali... eti unasajili laini... yaani kusajili laini ndiwe issue?ni wana tu wale wa kitaa dizaini kuna siku waliniona sasa wakaweka kambi kuniotea maana mama yeyo ana ndg zake pale walimwambia kina fulani walipiga mtu aliekuwa anakuja kusunda mavi kichochoroni asijue kuwa aliepigwa n shemla wake na hayo mavi na ya ndugu yake yapogo. so walivotajwa hao kina fulani nikajikuta nawajua ile ya kuwaonaga make walivkua wananibunda walikua wanasema mtu unasajili lain af una mambo ya kisengerema so ni kama tunajuana ila ile siku sikuwatambua kwa wenge la kipigo na kumbuka walinirushia fuko la puu mgongoni so nipo chapachapa hapo
[emoji16][emoji16]ni wana tu wale wa kitaa dizaini kuna siku waliniona sasa wakaweka kambi kuniotea maana mama yeyo ana ndg zake pale walimwambia kina fulani walipiga mtu aliekuwa anakuja kusunda mavi kichochoroni asijue kuwa aliepigwa n shemla wake na hayo mavi na ya ndugu yake yapogo. so walivotajwa hao kina fulani nikajikuta nawajua ile ya kuwaonaga make walivkua wananibunda walikua wanasema mtu unasajili lain af una mambo ya kisengerema so ni kama tunajuana ila ile siku sikuwatambua kwa wenge la kipigo na kumbuka walinirushia fuko la puu mgongoni so nipo chapachapa hapo
si ndo hapo sasa walikua wanadhani afsa kumbeeeDaah, mzee hii unavyosimulia inachekesha sana... ila pole ndugu yangu.. tunajifunza kwa namna mbali mbali... eti unasajili laini... yaani kusajili laini ndiwe issue?
Hapna Ni kumtolea uvivu tu ache hbr za umughaaka hapaKaka story nzur hii et mpaka mnakuwa wakali hivi kama mnalipia
Tumtoleee uvivu tuHawa waleta story nusu nusu nashauri wawe wanakula ban.
Mtu hujalazimishwa kuanzisha story, sasa iweje kumalizia iwe tatizo?
Sahih kbsa aache upuuzi ,muda wa kumbembeleza umekwisha SAS Ni shurtiHuyu kima amejisahau sana. Muda wa kazi umeisha tunataka mwendelezo. Na hili siyo ombi ni lazima
[emoji23][emoji23][emoji23]Bila Shaka Big na mkewe wamesha upiga Ban huu Uzi! Tumuombee ndugu yetu Molel!
[emoji23] dahMTunzi anatumia muda wa mchana kulala maana usiku kucha anakuwa anamfuatilia Bigi. So mwacheni apumzike jamani.
Hapo kwny "nukivu"nimecheka sanamkuu huo pia ni uanaume kuvumilia mazingira nukivu si mchezo
Ila wee jamaa daaaahni wana tu wale wa kitaa dizaini kuna siku waliniona sasa wakaweka kambi kuniotea maana mama yeyo ana ndg zake pale walimwambia kina fulani walipiga mtu aliekuwa anakuja kusunda mavi kichochoroni asijue kuwa aliepigwa n shemla wake na hayo mavi na ya ndugu yake yapogo. so walivotajwa hao kina fulani nikajikuta nawajua ile ya kuwaonaga make walivkua wananibunda walikua wanasema mtu unasajili lain af una mambo ya kisengerema so ni kama tunajuana ila ile siku sikuwatambua kwa wenge la kipigo na kumbuka walinirushia fuko la puu mgongoni so nipo chapachapa hapo
SteveMollel njoo huku acha ubwege, hakuna aliye kulazimisha kusimulia hadithi ya maisha yako kiazi weweSahih kbsa aache upuuzi ,muda wa kumbembeleza umekwisha SAS Ni shurti
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
SteveMollel njoo huku acha ubwege, hakuna aliye kulazimisha kusimulia hadithi ya maisha yako kiazi wewe
Ahaaa Mzee umughaka unae mwanzo mwisho shida ilikua nini?Hapna Ni kumtolea uvivu tu ache hbr za umughaaka hapa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app