Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Nasemaje!nasemaje mleta Stori ,hakuna anaekulipa hata Stori iishe mwakani hakuna shida
 
Kweli mkuu, story anoengeza vitu vingine hata havina maana,
 
Mollel Mollel Mollel...stevemollel jana umezingua kwenye kuahidi uongo....n heri ukatu kimya siku ukiona inafaa kudondosha mzigo ndio udondoshe. Kwa uongo ule wa jana inatafsirka kuwa unatudharau.
[emoji23][emoji23]
 
Kuna jambo nahisi linaendelea kati ya waleta story na uongozi wa hii forum. Haiwezekani kila anaeleta story mwanzo aanze vizuri, akifika epsode ya nne wanapata maruerue.

Waandishi wachache sana kama mtaalam DeepPond huwa halazi damu. Ni mwendo wa mvua za epsode tu na hakuna nafasi ya kutoa wala kujibu comment.

Hawa wengine wanaokuwa wanaogopa mazingaombwe ni viazi kabisa
 
🥱🥱
 
Kwanini mnalalamika wakati mwisho wa hadithi yeye mwenyewe alishauelezea mwanzoni mwa hadithi, alidai aliamua kuhama nyumba na akaenda kuishi nyumba nyingine, angalia hapa; 👇🏻

 
Hii story ni vile nilisubscribe ndo mana niko active ila mvuto ulishaisha maana kila ujumbe ni wawachangiaji tangu juzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…