Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nasemaje!nasemaje mleta Stori ,hakuna anaekulipa hata Stori iishe mwakani hakuna shida
Kweli mkuu, story anoengeza vitu vingine hata havina maana,Inachosha unaandika vitu havina hata maana , mpaka mtu unaburuza Aya nyingine
Mfano kulikuwa Kuna haja gani ya kufafanua umama ntilie wa bembela? Kuwa anauzia sehemu Fulani sijui anauza mpaka saa sita za usiku mara kubomolewa vibanda duuh!
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]Mollel Mollel Mollel...stevemollel jana umezingua kwenye kuahidi uongo....n heri ukatu kimya siku ukiona inafaa kudondosha mzigo ndio udondoshe. Kwa uongo ule wa jana inatafsirka kuwa unatudharau.
🤣🤣Vijana wa Bigi wakiwa mikononi mwa Wazee baada ya Jet kuzima rada.View attachment 2516278
Sijawahi kutumia Tecno tangu nianze kutumia smartphone, nimeanza kutumia Symbian mimi mkuuTatizo tecno
🥱🥱Kuna jambo nahisi linaendelea kati ya waleta story na uongozi wa hii forum. Haiwezekani kila anaeleta story mwanzo aanze vizuri, akifika epsode ya nne wanapata maruerue.
Waandishi wachache sana kama mtaalam DeepPond huwa halazi damu. Ni mwendo wa mvua za epsode tu na hakuna nafasi ya kutoa wala kujibu comment.
Hawa wengine wanaokuwa wanaogopa mazingaombwe ni viazi kabisa
[emoji23]Mollel Mollel Mollel...stevemollel jana umezingua kwenye kuahidi uongo....n heri ukatu kimya siku ukiona inafaa kudondosha mzigo ndio udondoshe. Kwa uongo ule wa jana inatafsirka kuwa unatudharau.
Jirani Yangu wa kule Goba Hakuwa Mtu wa Kawaida.
Sasa ni miaka miwili imepita, nimehamia na ninaishi kwengine, lakini yale ya kule Goba nayakumbuka vema kana kwamba yametokea jana yake, na huenda mambo hayo nikayakumbuka hata na milele maana ni moja ya visa ambavyo vilinishangaza sana.