Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Huyu msimuliaji ana vitu vifuatavyo:-
1. Ana kiasi kikubwa sana cha umbea, kuacha uaingizi saa tisa usiku kukaa dirishani kuangalia nani ataingia.
2. Ulinzi ungemfaa zaidi kuliko kazi anayofanya kwa sasa, haiwezekani ukeshe usiku kucha kulinda nyumba kwa niaba ya wapangaji wote ambao hawajakuomba.
Tumia Akili ww Acha Ujinga wako.
Hukawi kujiita Msomi na ww Mjinga Mmoja ww.
 
Nimeeleza kwa kina lifestyle yangu na changamoto niliyokuwa nayo kwenye upande wa usafiri wangu na pia udhaifu wa makazi tulokuwapo.

Ungeweza kulala fofofo huku umeacha chombo ambacho hakipo locked na mahali pana kadhia ya vibaka mara kwa mara? Huku miundombinu ikiwa so rafiki?

Anyways mkuu, tunatofautiana maisha, akili na tabia.

Napokea vyote maua na mawe.
Achana nae Kaka Boya huyo.
 
Nimeeleza kwa kina lifestyle yangu na changamoto niliyokuwa nayo kwenye upande wa usafiri wangu na pia udhaifu wa makazi tulokuwapo.

Ungeweza kulala fofofo huku umeacha chombo ambacho hakipo locked na mahali pana kadhia ya vibaka mara kwa mara? Huku miundombinu ikiwa so rafiki?

Anyways mkuu, tunatofautiana maisha, akili na tabia.

Napokea vyote maua na mawe.
Sio kila kichaa anafaa kujibiwa, wenye akili walishakusoma kwanini hulalagi kwa uhuru, potezea we shusha stori mkuu
 
Summarise then uendelee na shughuli zako, mkuu. Kuna watu wanapenda ikiwa hivi, wataendelea kufuatilia. Quite simple mwanangu, kwanini ujitese.
Human needs are unlimited but means to satisfy them are limited.

Baba steve shusha aya hakuna kusamalaizi.Simulizi gan inakuwa summary.?

SHUSHA AYA SHUSHA AYA
 
Waleta story apa ndio wanapoanza kuboa...kuleta muendelezo had muanze kuwapigia magoti...wanaanza vizuri baada ya apo mnaanza kuangaika nyie kuwaomba watoe muendelezo...sio sawa kabisa
 
Ninacho kiona baadhi amna uungwana ukiona kitu uja kielewa akipo kwa ajili yako kama huu uzi uelewi achana nao kuna nyuzi nyingi sana JF tafuta ambayo ina endana na wewe tabia ya kukosoa kosoa ni za upinde
Basi kama hataki kukosolewa asisimulie
 
Japo ulitambulisha una Mke na watoro ila kwenye story yako inaonyesha upo single muda mwiingi na mkeo nimemuona sehemu ya 7😀😀......baada ya mtoto wa Big kukichafua...... anyway tuendelee
Acheni ujinga enyi black people's stori Ni yeye na jirani na sio yeye na mkewe ,, mwengne angeanza zile stori za Mara nilivoachana na big nikaingia ndani nikakuta wife kapika akaniwekea maji ya kuoga nikaoga nikala nikamla na yeye bao nne siku hio alifurahi Sana nikamuomba tigo akakubali 😁 Sasa hio Ni stori inahusu jirani au wewe na mke
 
Kuna watu wapuuzi humu umughaka umughaka umughaka utadhani yeye pekee ndo msimuliaji JF nzima. Story zake nilishazifatilia napo wajinga walikua wanamsimanga,kumkosoa,kumtukana ila nadhan wengi humu wanataman mleta mada aongelee ngono zaidi kuliko masuala ya jirani yake. Vijana wa hovyo sio kila story ina mnyanduano
Sawasawa
 
Back
Top Bottom