Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Mi nilijua simu yangu ndo inashida maana naingia kwa kutumia browserNashangaa nishafika page 88 naingia tena nakuta ya 82 ,maajabu haya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nilijua simu yangu ndo inashida maana naingia kwa kutumia browserNashangaa nishafika page 88 naingia tena nakuta ya 82 ,maajabu haya...
Sawa siku nyingine usimuite mwanaume mwenzio hivyo ni dalili mbaya.
TUnaomba wadau waweke picha yake na ID yake, nna maswali nataka nimuulize BIGUnaeza kuta bigi mwenyewe yupo huku🤓
akituma naomba unitagSetevemollel muda ndio huu mkuu siunajua tena kesho ni blue monday...
Tatizo anatuma mida ya mapopo, ntakuwa nishajilalia zangu mie ntasoma hata keshoakituma naomba unitag
Acha kunitishia, stress unazo mwenyewe.Mkuu tangu nijiunge humu sijawahi kupigwa BAN ila naona unanitafuta ubaya
Umeshindwa kutoa maelezo bila kejeri au una stress za maisha?
Kuwa makini unapomjibu mtu usiyemjua
Hakika!Mkuu una akili sana nimependa hapo "Mleta mada asuse au aendelee haimuathiri yeyote, jf ipo kabla yake akitaka aache" ila kuna chawa wake humu ukimkosoa mleta mada na wao wananuna
Jamaa hasimulii kuhusu Familia yake....Ngoja nitoe dukuduku la moyo kabla ya kwenda mbele...
Story ni nzuri ila inautata kidogo kwenye upande wa familia ya msimuliaji
Kuna mdau mmoja kwenye comment aliulizia familia ya msimuliaje ilikuwa wapi tangu ep1-6
Maana mda wote huo sijaona neno 'WIFE' ila ep7 ndio nimeshuhudia nilitaka niulize msimuliaje aliishi pekee yake ep 1-6
Ila huu uandishi unafanana na UMUGHAKA[emoji848][emoji848]
Msamehe bhana easy nazani wamezoea sana utaniMkuu tangu nijiunge humu sijawahi kupigwa BAN ila naona unanitafuta ubaya
Umeshindwa kutoa maelezo bila kejeri au una stress za maisha?
Kuwa makini unapomjibu mtu usiyemjua
Nimempa like kwa alichonijibu, nitamalizana naeMsamehe bhana easy nazani wamezoea sana utani
Tivu akeeee ebu fanya ukuje basi
Njoo ukeshe huku
Namsubiri tivuNjoo ukeshe huku