Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Ngoja nitoe dukuduku la moyo kabla ya kwenda mbele...

Story ni nzuri ila inautata kidogo kwenye upande wa familia ya msimuliaji
Kuna mdau mmoja kwenye comment aliulizia familia ya msimuliaje ilikuwa wapi tangu ep1-6
Maana mda wote huo sijaona neno 'WIFE' ila ep7 ndio nimeshuhudia nilitaka niulize msimuliaje aliishi pekee yake ep 1-6

Ila huu uandishi unafanana na UMUGHAKA[emoji848][emoji848]
Jamaa hasimulii kuhusu Familia yake....
Hii story inahusu jirani yake wakati anaishi goba
 
Back
Top Bottom