Jirani yangu

Jirani yangu

We unampenda huyo jirAni yako mume wA mtu kukuchunia sio shida ila una muwaza Hadi umemuandikia thread USHAURI mfuate umueleze hisia z
 
Eti huwezi mpenda, yeye ndiyo hawezi kukupenda tena maana ameshakuona na wanaume wengine.
 
Mimi naishi na familia yangu tumepanga, basi bhana jirani yetu ni handsome sana ila mkorofi na mchungu but anapendeza sana .

Siku Moja alinikuta na mwanaume best yangu akawa Hana amani amezoea kunisalimia ila hiyo siku hajanisalimia sijui nikwanini Huwa hapendi nikiongea na wanaume ila haongei kitu Huwa na mshangaaga sana nini shida ??

Kiukweli sijui Nini shida ??
Maisha ni kuongea kuwa na uhuru ila Hana uhuru ni mkimya sana . Alikuwa anapaki mahali pengine ila Kwa Sasa anapaki karibu na kwetu ila haongei yupo kimya tu .

Haongei anataka Nini . Sasa anakuwa mubaya maana hataki niwe na wanaume na Wala haongei chochote kuwa ananipenda Wala ila dalili anazionyesha na anaharibu mahusiano yangu maana huenda mahali kuhakikisha Sina mahusiano na yeyote nifanyaje??
Juzi kaja na kifua wazi karibu na dirisha letu akijifanya yupo busy kikazi anaongea na simu hii Nini??

Na siwezi kumpenda mana kaoa tayari ila mke ndio haishi naye yupo huku kikazi.
Wewe jitahidi umtongoze Leo halafu utanishukuru baadaye 😁
 
Kinachokusumbua ni ushamba na ww ndio unamtaka pole sana maana skuhizi vijana wanaojielewa hawana muda na madem wabovu
 
Mimi naishi na familia yangu tumepanga, basi bhana jirani yetu ni handsome sana ila mkorofi na mchungu but anapendeza sana .

Siku Moja alinikuta na mwanaume best yangu akawa Hana amani amezoea kunisalimia ila hiyo siku hajanisalimia sijui nikwanini Huwa hapendi nikiongea na wanaume ila haongei kitu Huwa na mshangaaga sana nini shida ??

Kiukweli sijui Nini shida ??
Maisha ni kuongea kuwa na uhuru ila Hana uhuru ni mkimya sana . Alikuwa anapaki mahali pengine ila Kwa Sasa anapaki karibu na kwetu ila haongei yupo kimya tu .

Haongei anataka Nini . Sasa anakuwa mubaya maana hataki niwe na wanaume na Wala haongei chochote kuwa ananipenda Wala ila dalili anazionyesha na anaharibu mahusiano yangu maana huenda mahali kuhakikisha Sina mahusiano na yeyote nifanyaje??
Juzi kaja na kifua wazi karibu na dirisha letu akijifanya yupo busy kikazi anaongea na simu hii Nini??

Na siwezi kumpenda mana kaoa tayari ila mke ndio haishi naye yupo huku kikazi.
Hio familia unayosema unaishi nayo Ni IPI , baba yako na mama yako au ? Sijaelewa
 
Unampenda na yeye Hakupendi, fanya mambo yako achana naye, sifa ya mwanamke anayejielewa ni kungoja atongozwe, sio kujitongozesha.
 
Kama na wewe unamuhitaji jitahidi ujitongozeshe kwake ili aingie kwenye 18 zako, mzidi kuyajenga zaidi.
 
Back
Top Bottom