kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Na akishafunguka je utamkubali?Sasa ulitaka niwe single kaoa so aseme tu afunguke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na akishafunguka je utamkubali?Sasa ulitaka niwe single kaoa so aseme tu afunguke
Mimi naishi na familia yangu tumepanga, basi bhana jirani yetu ni handsome sana ila mkorofi na mchungu but anapendeza sana .
Siku Moja alinikuta na mwanaume best yangu akawa Hana amani amezoea kunisalimia ila hiyo siku hajanisalimia sijui nikwanini Huwa hapendi nikiongea na wanaume ila haongei kitu Huwa na mshangaaga sana nini shida ??
Kiukweli sijui Nini shida ??
Maisha ni kuongea kuwa na uhuru ila Hana uhuru ni mkimya sana . Alikuwa anapaki mahali pengine ila Kwa Sasa anapaki karibu na kwetu ila haongei yupo kimya tu .
Haongei anataka Nini . Sasa anakuwa mubaya maana hataki niwe na wanaume na Wala haongei chochote kuwa ananipenda Wala ila dalili anazionyesha na anaharibu mahusiano yangu maana huenda mahali kuhakikisha Sina mahusiano na yeyote nifanyaje??
Juzi kaja na kifua wazi karibu na dirisha letu akijifanya yupo busy kikazi anaongea na simu hii Nini??
Na siwezi kumpenda mana kaoa tayari ila mke ndio haishi naye yupo huku kikazi.
[emoji419][emoji419]Yuniki [emoji255]type
Kifupi bro mgombanishi wewe🤭Unamaanisha Unique Flower!! Dah ilinichukua sekunde kadhaa kuelewa hii code.
Nilitafuta ushauri mzuri kama huu sijaupata Sasa nimepata Asante sanaKama haongei wewe umejuaje anataka usiwe na mtu?mtu anayekupenda atazungumza acha kujiongeza ujinga
NimeitwaUnamaanisha Unique Flower!! Dah ilinichukua sekunde kadhaa kuelewa hii code.
Bado hawajamaliza mkuuu wana maliza wiki ijayoForm 6 mme maliza mitihani mme anza kusumbua
Sema unampenda tukupe mbinu za kumcheki.Hivi mbona nyie hamna ushauri ila mnamasihara nakashfa Huwa shida Nini??