Jirani yetu wa kike analalamika Wachungaji walikuwa wakimtekenya maziwa walipokuwa wakimuombea

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,651
Reaction score
1,129
Jirani yetu wa kike analalamika Wachungaji walikuwa wakimtekenya maziwa walipokuwa wakimuombea

Alidai kwamba walipokuwa wanamuombea walikuwa wakimlazimisha ajibu maswali waliyokuwa wanamuuliza

Katika hali hiyo akawa amechukizwa na maswali yale na kuwa katika hali ya ukimya

Walipoona hataki kuanguka kuzungumza wala kujigusa wakawa wanamshika maziwa huku wakijifanya wanaomba

Kitendo cha kushikwa maziwa akajikuta ameanguka na kuruka ruka huku akipiga kelele lakini kelele zile zilikuwa za kuamshwa hisia za mapenzi

Kwahiyo alipokuwa katika hali ile akajikuta anaongea maneno ya uongo kwa lengo la kutaka waache kumtekenya maziwa

Anadai kuwa wanawake wenzie wengi wamekuwa wakishikwa maziwa ili wawehuke na kuonekana kama wanamatatizo ya kiroho
 
Uislam pekee ndio dini ya haki
 
Ni kanisa gani hilo 😄
 
Kwa hiyo wanawake wakitekenywa maziwa wanaanza kurukaruka na kuongea mambo yasiyoeleweka? Ache kuharibu tasnia za watu
Dada yule ni shahidi, anadai walivyomshika alisisimka akawa anaruka kwahiyo akaongea maneno ya uongo ili wamwachie
Alidai kwamba kama asingewadanganya wangeendelea angeweza hata kujikojolea
 
Jirani yetu wa kike analalamika Wachungaji walikuwa wakimtekenya maziwa walipokuwa wakimuombea

Alidai kwamba walipokuwa wanamuombea walikuwa wakimlazimisha ajibu maswali waliyokuwa wanamuuliza

Katika hali hiyo akawa amechukizwa na maswali yale na kuwa katika hali ya ukimya

Walipoona hataki kuanguka kuzungumza wala kujigusa wakawa wanamshika maziwa huku wakijifanya wanaomba

Kitendo cha kushikwa maziwa akajikuta ameanguka na kuruka ruka huku akipiga kelele lakini kelele zile zilikuwa za kuamshwa hisia za mapenzi

Kwahiyo alipokuwa katika hali ile akajikuta anaongea maneno ya uongo kwa lengo la kutaka waache kumtekenya maziwa

Anadai kuwa wanawake wenzie wengi wamekuwa wakishikwa maziwa ili wawehuke na kuonekana kama wanamatatizo ya kiroho
Hao si wachungaji bali wachunaji
 
Back
Top Bottom