Jirani yetu wa kike analalamika Wachungaji walikuwa wakimtekenya maziwa walipokuwa wakimuombea

Jirani yetu wa kike analalamika Wachungaji walikuwa wakimtekenya maziwa walipokuwa wakimuombea

Wacha washikwe hata Kei zao.
Nani kawatuma kwenda kwa wasanii??
Tuko nje ya muda aisee!!
 
Kama umewez kupandisha nyege kwenye Eneo la watu wengi tena ukiwa unaombew labda kama wew ulikuw unampend huyo MTU, hakun mwanamke apande nyege tuu mbele za umati na yeye akiw mbele, wew ni kibak mwiz
Tatizo walimshika maziwa angeweza kweli kukausha
 
Kwa hivyo huyo dada kakusudia kukuambia weak spot yake.
Kakujulisha makusudi ashikinzake zipo kwenye kushikwa matiti.
Alikuwa anatafuta ushauri wa Kisheria ili akaishtaki kwasababu baba yake alichukia sana kwahiyo wapo mbioni kuchukua hatua
 
Ondoeni ujinga huu, hakuna wachungaji wanaoshika wanawake matiti wakati wanawaombea. Huu ni upuuzi wa mleta mada
Nikweli mkuu imemtokea huyo dada yupo na Wanasheria wanapanga namna ya kuishtaki
Walimzingira wanaume wengi wachungaji wakawa wanampapasana wakijifanya wanamtoa mabalaa
 
Jambo la kushangaza
Kitendo cha wachungaj kulazimisha
Kitendo cha kulazimisha maswal
Kitendo cha kuingia kwenye hisia
Kitendo cha kusema uongo ili aachwe


Hao wachungaj nao wanamapepo
 
Jirani yetu wa kike analalamika Wachungaji walikuwa wakimtekenya maziwa walipokuwa wakimuombea

Alidai kwamba walipokuwa wanamuombea walikuwa wakimlazimisha ajibu maswali waliyokuwa wanamuuliza

Katika hali hiyo akawa amechukizwa na maswali yale na kuwa katika hali ya ukimya

Walipoona hataki kuanguka kuzungumza wala kujigusa wakawa wanamshika maziwa huku wakijifanya wanaomba

Kitendo cha kushikwa maziwa akajikuta ameanguka na kuruka ruka huku akipiga kelele lakini kelele zile zilikuwa za kuamshwa hisia za mapenzi

Kwahiyo alipokuwa katika hali ile akajikuta anaongea maneno ya uongo kwa lengo la kutaka waache kumtekenya maziwa

Anadai kuwa wanawake wenzie wengi wamekuwa wakishikwa maziwa ili wawehuke na kuonekana kama wanamatatizo ya kiroho
Kwa hiyo analalama tumsaidieje?Je alilazimishwa kuwafuata na kama hajaridhika na mienendo yao,aende sehemu nyingine anayoiamini na isiyo na kificho wala mgusano unaoweza kudhalilisha.
 
Back
Top Bottom