Mcmillan de Maghayo
Senior Member
- Dec 6, 2025
- 197
- 438
Hao wachungaji ni wahalifu that's sexual assault harassment.Jirani yetu wa kike analalamika Wachungaji walikuwa wakimtekenya maziwa walipokuwa wakimuombea
Alidai kwamba walipokuwa wanamuombea walikuwa wakimlazimisha ajibu maswali waliyokuwa wanamuuliza
Katika hali hiyo akawa amechukizwa na maswali yale na kuwa katika hali ya ukimya
Walipoona hataki kuanguka kuzungumza wala kujigusa wakawa wanamshika maziwa huku wakijifanya wanaomba
Kitendo cha kushikwa maziwa akajikuta ameanguka na kuruka ruka huku akipiga kelele lakini kelele zile zilikuwa za kuamshwa hisia za mapenzi
Kwahiyo alipokuwa katika hali ile akajikuta anaongea maneno ya uongo kwa lengo la kutaka waache kumtekenya maziwa
Anadai kuwa wanawake wenzie wengi wamekuwa wakishikwa maziwa ili wawehuke na kuonekana kama wanamatatizo ya kiroho
adriz de mbusii