- Thread starter
- #21
Uko sahihi mkuuWekeza muda kusoma Block chain technology vijana . Mnasema forex ni utapeli lkn mtakuja kujutia miaka
Uko sahihi mkuuWekeza muda kusoma Block chain technology vijana . Mnasema forex ni utapeli lkn mtakuja kujutia miaka
Mimi naongelea Blockchain wee unaleta story za platforms…..au ulitaka ili mrad na wee uonekane umechangia mada..bas kabla ya kuchangia nenda usome ujue unachotaka kukiongeleaMimi ninachojua wakupigwa wapo tu hata wakanywe vipi kuna jamaa walipigwa juzi FIS kama sijakosea tukaongea sana lakini kuna mwingine kaingizwa kingi kapigwa M 2 tena hawa ni ofisi moja , na nyie mtapata wa kwenu.
Mimi sijui habari za blockchain ila ninachofahamu scheme uliyozungumza hapo ni utapeli bila shaka , common sense tu utoe dollar 100 upewe dollar 30,000 inahitaji kweli kujua blockchain? Hapa si teyari honey 🍯 trap?Mimi naongelea Blockchain wee unaleta story za platforms…..au ulitaka ili mrad na wee uonekane umechangia mada..bas kabla ya kuchangia nenda usome ujue unachotaka kukiongelea
Unasema hujui blockchain hapo hapo unataka kuongelea mifumo ya blockchain..na kuonyesha ni utapeli sasa hua ujuz umeutoa wapi na uliisha sema huijui blockchain….ushaur wangu kajifunze kwanza afu ndio uje kuiongeleaMimi sijui habari za blockchain ila ninachofahamu scheme uliyozungumza hapo ni utapeli bila shaka , common sense tu utoe dollar 100 upewe dollar 30,000 inahitaji kweli kujua blockchain? Hapa si teyari honey 🍯 trap?
Usibak kua mtazamaj..jipe muda ujifunze ili usibak kusubir kuona badala yake uwe ni vitu unavijua
Nimeona uwezo wa kiakil ulivyodhaifu…Tatizo unatoa maelekezo kwenye kitu ambacho hukijui…yan nilitegemea maswal kujua hii mifumo inafanyaje kaz..Unaona umetoa wazooUnatoa ada upewe mkopo!! Kwa ninj wasinioe mkopo afu ile hela yao wakakata hukohuko
Siku zote kwenye maisha hua tunapokea fursa kisha tunajipa nafas ya kuzifanyia upembuz yakinifu tukijiridhisha hua tunachukua hatua..Ila kwa wajinga hua wanakurupuka na kila wanacholetewa bila hata kujibu nafas ya kusoma..kwa maneno yako yana nafas kwa wajinga tu…kwa kawaida hapa tanzania ukiona unaitiwa fursa ya PESA basi jua wewe ndio FURSA yenyewe.
Sasa kwanini unaleta mada kwa watu wasio na uelewa na bidhaa yako? Au ndio wanakuwa rahisi kutapeliwa ?Unasema hujui blockchain hapo hapo unataka kuongelea mifumo ya blockchain..na kuonyesha ni utapeli sasa hua ujuz umeutoa wapi na uliisha sema huijui blockchain….ushaur wangu kajifunze kwanza afu ndio uje kuiongelea
Mkuu sasa fafanua hebu. $100 kwa $30k hujasema ni after how long? Yan unapewa hiyo pesa baada ya muda gani?Txt zote hakuna hata moja ambayo nimeishangaa hii ni kwasababu Nilijua nawapa taarifa jamii ya aina gan..Ni waz hakuna mwenye uelewa juu ya blockchain kwa txt zenu..afu ukiona kitu kigen tumia nafas hiyo kuuliza maswal ili kujua ..mpe challange mtoa taarifa..najua tuko nyuma sana kimaarifa ndio maana tunaona vitu vigen..lakin usikaze fuvu ..hebu jipe nafas ya kuchunguza na kusoma kisha ndio uongee..lakin hiz tabia za kuropoka ropoka ndio zinatufanya mpaka leo ili upate Ela inabidi ukalime…hata bitcoin wakat inangia wakubwa zetu waliongea pumba kama zenu..wakat wangejipa muda wa kusoma saiv tungekua tunaongea habar nyingine
Hujdjibu swali lakiniUnasema hujui blockchain hapo hapo unataka kuongelea mifumo ya blockchain..na kuonyesha ni utapeli sasa hua ujuz umeutoa wapi na uliisha sema huijui blockchain….ushaur wangu kajifunze kwanza afu ndio uje kuiongelea
Ndio utoe shule sasa mbona kashfa nyingi mkuu??Nimeona uwezo wa kiakil ulivyodhaifu…Tatizo unatoa maelekezo kwenye kitu ambacho hukijui…yan nilitegemea maswal kujua hii mifumo inafanyaje kaz..Unaona umetoa wazoo
Legitimacy yake ipo vp, na je ? Haiwez kua scamm project like MTFE na platform nyinginezo?Mimi naongelea Blockchain wee unaleta story za platforms…..au ulitaka ili mrad na wee uonekane umechangia mada..bas kabla ya kuchangia nenda usome ujue unachotaka kukiongelea
ChatGPT 🤣Tafadhali zingatia kuwa maelezo katika posti si kweli, na kwa ujumla, ni ishara za mradi wa ulaghai.
Hii ndiyo sababu:
* Ahadi zisizo na uhalisia: Hakuna taasisi ya kifedha inayoweza kukupa mkopo wa zaidi ya $30,000 kwa kuweka tu $100, na bila hatari yoyote. Hii ni kinyume kabisa na kanuni za mikopo na uwekezaji.
* "CryptEX" ni neno la jumla: Ingawa kuna miradi halali ya DeFi na sarafu ya kidijitali inayoitwa "Cryptex Finance (CTX)", miradi hiyo haifanyi kazi kama ilivyoelezwa kwenye maelezo hayo. Mradi wa kweli wa Cryptex Finance unazingatia kuunda bidhaa za kifedha zinazodhibitiwa na DAO (Decentralized Autonomous Organization) na hauhusishi kutoa mikopo ya kiasi kikubwa kwa amana ndogo.
Inawezekana kwamba "CryptEX" iliyotajwa kwenye posti inatumiwa kama jina la kuficha shughuli za ulaghai. Ni muhimu kuwa mwangalifu sana na ahadi za kupata faida kubwa kwa haraka na kwa urahisi, haswa katika ulimwengu wa sarafu za kidijitali.
Msipoelewa hapa mazee shauri yenu.