Jitahid kupitia ujumbe huu hauta jutia muda wako ewe mpambanaji katika maisha

Mimi ninachojua wakupigwa wapo tu hata wakanywe vipi kuna jamaa walipigwa juzi FIS kama sijakosea tukaongea sana lakini kuna mwingine kaingizwa kingi kapigwa M 2 tena hawa ni ofisi moja , na nyie mtapata wa kwenu.
 
Mimi naongelea Blockchain wee unaleta story za platforms…..au ulitaka ili mrad na wee uonekane umechangia mada..bas kabla ya kuchangia nenda usome ujue unachotaka kukiongelea
 
Mimi sijui habari za blockchain ila ninachofahamu scheme uliyozungumza hapo ni utapeli bila shaka , common sense tu utoe dollar 100 upewe dollar 30,000 inahitaji kweli kujua blockchain? Hapa si teyari honey 🍯 trap?
 
Unasema hujui blockchain hapo hapo unataka kuongelea mifumo ya blockchain..na kuonyesha ni utapeli sasa hua ujuz umeutoa wapi na uliisha sema huijui blockchain….ushaur wangu kajifunze kwanza afu ndio uje kuiongelea
 
kwa kawaida hapa tanzania ukiona unaitiwa fursa ya PESA basi jua wewe ndio FURSA yenyewe.
 
Unatoa ada upewe mkopo!! Kwa ninj wasinioe mkopo afu ile hela yao wakakata hukohuko
 
Nimeona uwezo wa kiakil ulivyodhaifu…Tatizo unatoa maelekezo kwenye kitu ambacho hukijui…yan nilitegemea maswal kujua hii mifumo inafanyaje kaz..Unaona umetoa wazoo
 
kwa kawaida hapa tanzania ukiona unaitiwa fursa ya PESA basi jua wewe ndio FURSA yenyewe.
Siku zote kwenye maisha hua tunapokea fursa kisha tunajipa nafas ya kuzifanyia upembuz yakinifu tukijiridhisha hua tunachukua hatua..Ila kwa wajinga hua wanakurupuka na kila wanacholetewa bila hata kujibu nafas ya kusoma..kwa maneno yako yana nafas kwa wajinga tu…
 
Unasema hujui blockchain hapo hapo unataka kuongelea mifumo ya blockchain..na kuonyesha ni utapeli sasa hua ujuz umeutoa wapi na uliisha sema huijui blockchain….ushaur wangu kajifunze kwanza afu ndio uje kuiongelea
Sasa kwanini unaleta mada kwa watu wasio na uelewa na bidhaa yako? Au ndio wanakuwa rahisi kutapeliwa ?
 
Mkuu sasa fafanua hebu. $100 kwa $30k hujasema ni after how long? Yan unapewa hiyo pesa baada ya muda gani?
Haya, kingine unamhdkikishia vip mtu usalama wa deposit yake?
 
Unasema hujui blockchain hapo hapo unataka kuongelea mifumo ya blockchain..na kuonyesha ni utapeli sasa hua ujuz umeutoa wapi na uliisha sema huijui blockchain….ushaur wangu kajifunze kwanza afu ndio uje kuiongelea
Hujdjibu swali lakini
 
Nimeona uwezo wa kiakil ulivyodhaifu…Tatizo unatoa maelekezo kwenye kitu ambacho hukijui…yan nilitegemea maswal kujua hii mifumo inafanyaje kaz..Unaona umetoa wazoo
Ndio utoe shule sasa mbona kashfa nyingi mkuu??
 
Mimi naongelea Blockchain wee unaleta story za platforms…..au ulitaka ili mrad na wee uonekane umechangia mada..bas kabla ya kuchangia nenda usome ujue unachotaka kukiongelea
Legitimacy yake ipo vp, na je ? Haiwez kua scamm project like MTFE na platform nyinginezo?
 
Tafadhali zingatia kuwa maelezo katika posti si kweli, na kwa ujumla, ni ishara za mradi wa ulaghai.
Hii ndiyo sababu:
* Ahadi zisizo na uhalisia: Hakuna taasisi ya kifedha inayoweza kukupa mkopo wa zaidi ya $30,000 kwa kuweka tu $100, na bila hatari yoyote. Hii ni kinyume kabisa na kanuni za mikopo na uwekezaji.
* "CryptEX" ni neno la jumla: Ingawa kuna miradi halali ya DeFi na sarafu ya kidijitali inayoitwa "Cryptex Finance (CTX)", miradi hiyo haifanyi kazi kama ilivyoelezwa kwenye maelezo hayo. Mradi wa kweli wa Cryptex Finance unazingatia kuunda bidhaa za kifedha zinazodhibitiwa na DAO (Decentralized Autonomous Organization) na hauhusishi kutoa mikopo ya kiasi kikubwa kwa amana ndogo.
Inawezekana kwamba "CryptEX" iliyotajwa kwenye posti inatumiwa kama jina la kuficha shughuli za ulaghai. Ni muhimu kuwa mwangalifu sana na ahadi za kupata faida kubwa kwa haraka na kwa urahisi, haswa katika ulimwengu wa sarafu za kidijitali.

Msipoelewa hapa mazee shauri yenu.
 
ChatGPT 🤣
 
Libongo,litanzania,jitu jeusii likupe fursa kirahisi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…