Jaribu kujenga sehemu iliyojaa watu wenye connections aidha wamejaa waajiriwa wa serikali kuanzia ngazi za kati au wafanyabiashara wa kuanzia vipato vya kati, n.kl., haimaanishi wawe matop sana ila si haba wawe na uwezo flani sauti,kuwa nakaji uwezo hata kwa mbali kanakoweza ku influence decissions.
Unajenga sehemu hakuna hata mtu idara ya maji /tanesco tayari hamna sauti, mtabinyiwa huduma zifaidishe kwengine,
Unajenga sehemu hakuna hata mtu idara ya maji /tanesco tayari hamna sauti, mtabinyiwa huduma zifaidishe kwengine,