Unajua kinachofanya wanyonge waishi kivyao na wenye nacho waishi kivyao? 1. Kiwanja kitakuwa ghali. 2. Utakuwa huna uwezo wa kujenga nyumba kama za majirani zako. 3. Mazingira yatakuwa magumu kwako eg maduka na magenge ya rahisi. Kwa kifupi mnyonge kuishi sehemu ya matajiri ni mateso.Jaribu kujenga sehemu iliyojaa watu wenye connections aidha wamejaa waajiriwa wa serikali kuanzia ngazi za kati au wafanyabiashara wa kuanzia vipato vya kati, n.kl., haimaanishi wawe matop sana ila si haba wawe na uwezo flani sauti,kuwa nakaji uwezo hata kwa mbali kanakoweza ku influence decissions.
Unajenga sehemu hakuna hata mtu idara ya maji /tanesco tayari hamna sauti, mtabinyiwa huduma zifaidishe kwengine,
Ndugu yangu, siku zote Urafiki, connections, mapenzi na ukaribu, huwa havilazimishwi, bali vinakuja tu automatically.Jaribu kujenga sehemu iliyojaa watu wenye connections aidha wamejaa waajiriwa wa serikali kuanzia ngazi za kati au wafanyabiashara wa kuanzia vipato vya kati, n.kl., haimaanishi wawe matop sana ila si haba wawe na uwezo flani sauti,kuwa nakaji uwezo hata kwa mbali kanakoweza ku influence decissions.
Unajenga sehemu hakuna hata mtu idara ya maji /tanesco tayari hamna sauti, mtabinyiwa huduma zifaidishe kwengine,
Upo sahihi sana mkuu. Soma pia comment number 4..Unajua kinachofanya wanyonge waishi kivyao na wenye nacho waishi kivyao? 1. Kiwanja kitakuwa ghali. 2. Utakuwa huna uwezo wa kujenga nyumba kama za majirani zako. 3. Mazingira yatakuwa magumu kwako eg maduka na magenge ya rahisi. Kwa kifupi mnyonge kuishi sehemu ya matajiri ni mateso.