Jitibu U.T.I kwa mmea huu kwa matokeo yenye ufanisi zaidi

Mjini au kijijini,kesho naweza kuwa mwanza kwa shughuli binafsi,Kama utakuwa tayari au una mawasiliano na madereva wa magari yanayokuja mwanza fanya hivyo ili nikutumie
Mjini kabisa!
Sina dereva yyt namfahamu,but nasikia kuna mabasi ya Iringa to Mwanza sikuhizi, basi nitaenda kuuliza then nitakupa feedback!
Mungu akubariki sana!
 
Wakuu habari za leo ! Poleni na mihangaiko ya hapa na pale katika kutafuta riziki.

Nimekaa na kufikiri ni jinsi gani wazee wetu walikuwa wataalamu Wa tiba asilia lakini walikuwa wagumu sana kufundisha watu wakaribu yao, matokeo yake walikufa na maarifa yao, kwa Leo Mimi sitaki kufanana na hao wahenga.

Tangu nitambue kuwa huu mmea unatibu U.T.I, sasa Nina miaka miwili sijawahi tumia dawa za hospital, ninachokifanya Mimi ni kwenda kupima ili nijue nasumbuliwa na ugonjwa gani, baada ya hapo huwa narudi nyumbani na kuchuma majani haya , nayachemsha na kunywa. Hakika hii ni tiba nzuri sana wapendwa, kamwe hutakaa utake kutumia vidonge vya hospital kwa kutibu U.T.I., ufanisi wake ni zaidi ya % 80.

Matumizi yake ni kama ifuatavyo:

Chuma majani kati ya kumi hadi kumi na tano,baada ya hapo yasafishe kwa maji na kuyaweka katika chombo(sufuria) tia vikombe vya chai vitatu,na injika jikoni hadi yachemke(yatokote), hakikisha maji hayo baada ya kuchemka yanabaki vikombe vitatu, yakishachemka yaepue na toa majani yakae pembeni ili kubaki na kimiminika halisi,kunywa kikombe kimoja kutwa Mara tatu, hakikisha mchemsho unaoutengeneza ni Wa siku moja pekee, tumia dawa hii kwa muda Wa siku tatu hadi tano kwa matokeo yenye ufanisi.

NB. Jina la Mmea huu halijulikani,maana kwa utafiti wangu nimeuliza watu wengi lakini wanaishia kuniambia maua,lakini watu wengi hupenda kuutumia kama fensi/uzio.

View attachment 1725807View attachment 1725809
Hiyo dawa inatibu mpaka madonda ya tumbo na kurekebisha mfumo wa chakula ulio shambuliwa na bacteria virusi na fangasi pia inasafisha mfumo mzima wa damu MATUMIZI YAKE NI KAMA ULIVYO TOLEA MAELEKEZO au mtu anaweza kuchukua hayo majani 15 aka safisha na kuya pikicha au kuya saga ndani ya maji vikombe vitatu hivyo akachuja na kutumia ka robo kikombe mara tatu kwa siku mda huo ulio usema. MUNGU ANATUPENDA SOTE.
 
Asante
Kwenye dose hapa naona kila mmoja ana maelekezo yake.
Anyway,mi naona hii ya robo kikombe ndo salama sbb miti shamba haina kipimo maalumu .
 
Wakuu habari za leo ! Poleni na mihangaiko ya hapa na pale katika kutafuta riziki.

Nimekaa na kufikiri ni jinsi gani wazee wetu walikuwa wataalamu Wa tiba asilia lakini walikuwa wagumu sana kufundisha watu wakaribu yao, matokeo yake walikufa na maarifa yao, kwa Leo Mimi sitaki kufanana na hao wahenga.

Tangu nitambue kuwa huu mmea unatibu U.T.I, sasa Nina miaka miwili sijawahi tumia dawa za hospital, ninachokifanya Mimi ni kwenda kupima ili nijue nasumbuliwa na ugonjwa gani, baada ya hapo huwa narudi nyumbani na kuchuma majani haya , nayachemsha na kunywa. Hakika hii ni tiba nzuri sana wapendwa, kamwe hutakaa utake kutumia vidonge vya hospital kwa kutibu U.T.I., ufanisi wake ni zaidi ya % 80.

Matumizi yake ni kama ifuatavyo:

Chuma majani kati ya kumi hadi kumi na tano,baada ya hapo yasafishe kwa maji na kuyaweka katika chombo(sufuria) tia vikombe vya chai vitatu,na injika jikoni hadi yachemke(yatokote), hakikisha maji hayo baada ya kuchemka yanabaki vikombe vitatu, yakishachemka yaepue na toa majani yakae pembeni ili kubaki na kimiminika halisi,kunywa kikombe kimoja kutwa Mara tatu, hakikisha mchemsho unaoutengeneza ni Wa siku moja pekee, tumia dawa hii kwa muda Wa siku tatu hadi tano kwa matokeo yenye ufanisi.

NB. Jina la Mmea huu halijulikani,maana kwa utafiti wangu nimeuliza watu wengi lakini wanaishia kuniambia maua,lakini watu wengi hupenda kuutumia kama fensi/uzio.

View attachment 1725807View attachment 1725809

Asante mzehe,,ubalikiwe
 
Huu mmea ninao nyumbani nikaambiwa tu ni dawa ya tumbo la akina dada. Pia mtu mwingine alisema kuna aliyetumia akapona kansa. Tatizo sikufahamu ilikuwa ni cancer ipi au inatibu zote. Mungu anetupa mengi mazuri. Ninatamani moderator waanzishe forum ya dawa Asili ili kujifunza. Conventional medicines zitatumaliza mno. Tumekuwa vilema wa madhara ya madawa ya HospitaI wakati kuna tiba asili effective kabisa.
Yaani ukute hata hawa watu wa Tiba mbadala ndo wanatumia hiihii mimea!
Asante sana
 
Wakuu habari za leo ! Poleni na mihangaiko ya hapa na pale katika kutafuta riziki.

Nimekaa na kufikiri ni jinsi gani wazee wetu walikuwa wataalamu Wa tiba asilia lakini walikuwa wagumu sana kufundisha watu wakaribu yao, matokeo yake walikufa na maarifa yao, kwa Leo Mimi sitaki kufanana na hao wahenga.

Tangu nitambue kuwa huu mmea unatibu U.T.I, sasa Nina miaka miwili sijawahi tumia dawa za hospital, ninachokifanya Mimi ni kwenda kupima ili nijue nasumbuliwa na ugonjwa gani, baada ya hapo huwa narudi nyumbani na kuchuma majani haya , nayachemsha na kunywa. Hakika hii ni tiba nzuri sana wapendwa, kamwe hutakaa utake kutumia vidonge vya hospital kwa kutibu U.T.I., ufanisi wake ni zaidi ya % 80.

Matumizi yake ni kama ifuatavyo:

Chuma majani kati ya kumi hadi kumi na tano,baada ya hapo yasafishe kwa maji na kuyaweka katika chombo(sufuria) tia vikombe vya chai vitatu,na injika jikoni hadi yachemke(yatokote), hakikisha maji hayo baada ya kuchemka yanabaki vikombe vitatu, yakishachemka yaepue na toa majani yakae pembeni ili kubaki na kimiminika halisi,kunywa kikombe kimoja kutwa Mara tatu, hakikisha mchemsho unaoutengeneza ni Wa siku moja pekee, tumia dawa hii kwa muda Wa siku tatu hadi tano kwa matokeo yenye ufanisi.

NB. Jina la Mmea huu halijulikani,maana kwa utafiti wangu nimeuliza watu wengi lakini wanaishia kuniambia maua,lakini watu wengi hupenda kuutumia kama fensi/uzio.

View attachment 1725807View attachment 1725809
pain killer
Pitita hapa
Achana na matapeli wanaotaka uwafuate inbox
 
Wazee kumekucha,hii si ule mmea kwa sisi wachaga huwa tunachemshia kwenye supu ya mbuzi,,inazuia gauti???tunaita mombo??

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwa kiswahili unaitwa mvugwa au mzugwa una mambo kibao sana
 
Wakuu habari za leo ! Poleni na mihangaiko ya hapa na pale katika kutafuta riziki.

Nimekaa na kufikiri ni jinsi gani wazee wetu walikuwa wataalamu Wa tiba asilia lakini walikuwa wagumu sana kufundisha watu wakaribu yao, matokeo yake walikufa na maarifa yao, kwa Leo Mimi sitaki kufanana na hao wahenga.

Tangu nitambue kuwa huu mmea unatibu U.T.I, sasa Nina miaka miwili sijawahi tumia dawa za hospital, ninachokifanya Mimi ni kwenda kupima ili nijue nasumbuliwa na ugonjwa gani, baada ya hapo huwa narudi nyumbani na kuchuma majani haya , nayachemsha na kunywa. Hakika hii ni tiba nzuri sana wapendwa, kamwe hutakaa utake kutumia vidonge vya hospital kwa kutibu U.T.I., ufanisi wake ni zaidi ya % 80.

Matumizi yake ni kama ifuatavyo:

Chuma majani kati ya kumi hadi kumi na tano,baada ya hapo yasafishe kwa maji na kuyaweka katika chombo(sufuria) tia vikombe vya chai vitatu,na injika jikoni hadi yachemke(yatokote), hakikisha maji hayo baada ya kuchemka yanabaki vikombe vitatu, yakishachemka yaepue na toa majani yakae pembeni ili kubaki na kimiminika halisi,kunywa kikombe kimoja kutwa Mara tatu, hakikisha mchemsho unaoutengeneza ni Wa siku moja pekee, tumia dawa hii kwa muda Wa siku tatu hadi tano kwa matokeo yenye ufanisi.

NB. Jina la Mmea huu halijulikani,maana kwa utafiti wangu nimeuliza watu wengi lakini wanaishia kuniambia maua,lakini watu wengi hupenda kuutumia kama fensi/uzio.

View attachment 1725807View attachment 1725809
Haya majani yanaitea MZUGWA
 
Back
Top Bottom