Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Mjini kabisa!Mjini au kijijini,kesho naweza kuwa mwanza kwa shughuli binafsi,Kama utakuwa tayari au una mawasiliano na madereva wa magari yanayokuja mwanza fanya hivyo ili nikutumie
Hiyo dawa inatibu mpaka madonda ya tumbo na kurekebisha mfumo wa chakula ulio shambuliwa na bacteria virusi na fangasi pia inasafisha mfumo mzima wa damu MATUMIZI YAKE NI KAMA ULIVYO TOLEA MAELEKEZO au mtu anaweza kuchukua hayo majani 15 aka safisha na kuya pikicha au kuya saga ndani ya maji vikombe vitatu hivyo akachuja na kutumia ka robo kikombe mara tatu kwa siku mda huo ulio usema. MUNGU ANATUPENDA SOTE.Wakuu habari za leo ! Poleni na mihangaiko ya hapa na pale katika kutafuta riziki.
Nimekaa na kufikiri ni jinsi gani wazee wetu walikuwa wataalamu Wa tiba asilia lakini walikuwa wagumu sana kufundisha watu wakaribu yao, matokeo yake walikufa na maarifa yao, kwa Leo Mimi sitaki kufanana na hao wahenga.
Tangu nitambue kuwa huu mmea unatibu U.T.I, sasa Nina miaka miwili sijawahi tumia dawa za hospital, ninachokifanya Mimi ni kwenda kupima ili nijue nasumbuliwa na ugonjwa gani, baada ya hapo huwa narudi nyumbani na kuchuma majani haya , nayachemsha na kunywa. Hakika hii ni tiba nzuri sana wapendwa, kamwe hutakaa utake kutumia vidonge vya hospital kwa kutibu U.T.I., ufanisi wake ni zaidi ya % 80.
Matumizi yake ni kama ifuatavyo:
Chuma majani kati ya kumi hadi kumi na tano,baada ya hapo yasafishe kwa maji na kuyaweka katika chombo(sufuria) tia vikombe vya chai vitatu,na injika jikoni hadi yachemke(yatokote), hakikisha maji hayo baada ya kuchemka yanabaki vikombe vitatu, yakishachemka yaepue na toa majani yakae pembeni ili kubaki na kimiminika halisi,kunywa kikombe kimoja kutwa Mara tatu, hakikisha mchemsho unaoutengeneza ni Wa siku moja pekee, tumia dawa hii kwa muda Wa siku tatu hadi tano kwa matokeo yenye ufanisi.
NB. Jina la Mmea huu halijulikani,maana kwa utafiti wangu nimeuliza watu wengi lakini wanaishia kuniambia maua,lakini watu wengi hupenda kuutumia kama fensi/uzio.
View attachment 1725807View attachment 1725809
AsanteHiyo dawa inatibu mpaka madonda ya tumbo na kurekebisha mfumo wa chakula ulio shambuliwa na bacteria virusi na fangasi pia inasafisha mfumo mzima wa damu MATUMIZI YAKE NI KAMA ULIVYO TOLEA MAELEKEZO au mtu anaweza kuchukua hayo majani 15 aka safisha na kuya pikicha au kuya saga ndani ya maji vikombe vitatu hivyo akachuja na kutumia ka robo kikombe mara tatu kwa siku mda huo ulio usema. MUNGU ANATUPENDA SOTE.
Wakuu habari za leo ! Poleni na mihangaiko ya hapa na pale katika kutafuta riziki.
Nimekaa na kufikiri ni jinsi gani wazee wetu walikuwa wataalamu Wa tiba asilia lakini walikuwa wagumu sana kufundisha watu wakaribu yao, matokeo yake walikufa na maarifa yao, kwa Leo Mimi sitaki kufanana na hao wahenga.
Tangu nitambue kuwa huu mmea unatibu U.T.I, sasa Nina miaka miwili sijawahi tumia dawa za hospital, ninachokifanya Mimi ni kwenda kupima ili nijue nasumbuliwa na ugonjwa gani, baada ya hapo huwa narudi nyumbani na kuchuma majani haya , nayachemsha na kunywa. Hakika hii ni tiba nzuri sana wapendwa, kamwe hutakaa utake kutumia vidonge vya hospital kwa kutibu U.T.I., ufanisi wake ni zaidi ya % 80.
Matumizi yake ni kama ifuatavyo:
Chuma majani kati ya kumi hadi kumi na tano,baada ya hapo yasafishe kwa maji na kuyaweka katika chombo(sufuria) tia vikombe vya chai vitatu,na injika jikoni hadi yachemke(yatokote), hakikisha maji hayo baada ya kuchemka yanabaki vikombe vitatu, yakishachemka yaepue na toa majani yakae pembeni ili kubaki na kimiminika halisi,kunywa kikombe kimoja kutwa Mara tatu, hakikisha mchemsho unaoutengeneza ni Wa siku moja pekee, tumia dawa hii kwa muda Wa siku tatu hadi tano kwa matokeo yenye ufanisi.
NB. Jina la Mmea huu halijulikani,maana kwa utafiti wangu nimeuliza watu wengi lakini wanaishia kuniambia maua,lakini watu wengi hupenda kuutumia kama fensi/uzio.
View attachment 1725807View attachment 1725809
Usukuman unaitwaje huo mmea
Ipi hiyo ya mwanzo unayoiongelea mkuu na ilimponyesha ugonjwa gani?Ile ya mwanzo ilimponyesha kabisa. Hii sikutumia hata na nishasahau kabisa kwamba nilitaka ifuatie endapo ile ingefeli
Yaani ukute hata hawa watu wa Tiba mbadala ndo wanatumia hiihii mimea!Huu mmea ninao nyumbani nikaambiwa tu ni dawa ya tumbo la akina dada. Pia mtu mwingine alisema kuna aliyetumia akapona kansa. Tatizo sikufahamu ilikuwa ni cancer ipi au inatibu zote. Mungu anetupa mengi mazuri. Ninatamani moderator waanzishe forum ya dawa Asili ili kujifunza. Conventional medicines zitatumaliza mno. Tumekuwa vilema wa madhara ya madawa ya HospitaI wakati kuna tiba asili effective kabisa.
Hakuna mmea unaozuia mchawi, wala mifupa ya nguruwe. Mchawi anazuiwa kwa maombi na sala.
pain killerWakuu habari za leo ! Poleni na mihangaiko ya hapa na pale katika kutafuta riziki.
Nimekaa na kufikiri ni jinsi gani wazee wetu walikuwa wataalamu Wa tiba asilia lakini walikuwa wagumu sana kufundisha watu wakaribu yao, matokeo yake walikufa na maarifa yao, kwa Leo Mimi sitaki kufanana na hao wahenga.
Tangu nitambue kuwa huu mmea unatibu U.T.I, sasa Nina miaka miwili sijawahi tumia dawa za hospital, ninachokifanya Mimi ni kwenda kupima ili nijue nasumbuliwa na ugonjwa gani, baada ya hapo huwa narudi nyumbani na kuchuma majani haya , nayachemsha na kunywa. Hakika hii ni tiba nzuri sana wapendwa, kamwe hutakaa utake kutumia vidonge vya hospital kwa kutibu U.T.I., ufanisi wake ni zaidi ya % 80.
Matumizi yake ni kama ifuatavyo:
Chuma majani kati ya kumi hadi kumi na tano,baada ya hapo yasafishe kwa maji na kuyaweka katika chombo(sufuria) tia vikombe vya chai vitatu,na injika jikoni hadi yachemke(yatokote), hakikisha maji hayo baada ya kuchemka yanabaki vikombe vitatu, yakishachemka yaepue na toa majani yakae pembeni ili kubaki na kimiminika halisi,kunywa kikombe kimoja kutwa Mara tatu, hakikisha mchemsho unaoutengeneza ni Wa siku moja pekee, tumia dawa hii kwa muda Wa siku tatu hadi tano kwa matokeo yenye ufanisi.
NB. Jina la Mmea huu halijulikani,maana kwa utafiti wangu nimeuliza watu wengi lakini wanaishia kuniambia maua,lakini watu wengi hupenda kuutumia kama fensi/uzio.
View attachment 1725807View attachment 1725809
Yes ni dawa ya watotoHayo majani SI machunguu, wanasemaga ni dawa ya watoto au sio?
Yataje hapa Mkuu ili tupate elimuKwa kiswahili unaitwa mvugwa au mzugwa una mambo kibao sana
Haya majani yanaitea MZUGWAWakuu habari za leo ! Poleni na mihangaiko ya hapa na pale katika kutafuta riziki.