Jitibu U.T.I kwa mmea huu kwa matokeo yenye ufanisi zaidi

Mimi Kuna wakati nilisumbuliwa na malaria dozi nikamaliza lkn homa ikawa bado Kali sana mpk wkt mwengine napepesuka nikijaribu kutembea lkn ,kuna mtu akanishauri ninywe mchemsho wa huo mmea nikajaribu Mungu akasaidia nikapona kabisa Tena kwa haraka.
 
Pamoja na yote ukizoea kunywa chai ya mchaimchai hutokaa uumwe UTI mimi nyumban kwangu nimesahau ugonjwa huo..huwa nawalazimisha wanangu kila siku kunywa chai kikombe kimoja tu happ hawapend lakin iwe usubuhi au jioni kikombe kimoja cha chai ya mchaichai kinatosha na tumesahau huo ugonjwa hasa
 
tunaomba muongoza wa hiyo ya mwanzo mkuu, nina mdogo wangu anateseka sana kwa kweli
Siijui hata. Niliagiza kwa ndugu yangu mmoja naye alijivuta sana kuiagiza kijijini uko ila iko very effective. Dosage ni kama miezi miwili taratibu na uzito wa yale majani yaliyokaushwa si zaidi ya 3kg. Sidhani kama naweza ipata tena hata nikiitaka mimi mwenyewe
 
Mmhhhhh
 
Wakuu kuna mtu ni mwenyeji wa Marangu Kilimanjaro anafahamu jina la huo mmea kwa huku wanaitaje?
Ihombo, Ighombo, Iyombo au Iombo. Majani yake pia Wachagga wanayatumia kwenye supu. Huu ndo ule mmea maarufu huko Madagascar waliogundua kudhibiti COVID 19. Wachaga wengi wanaufahamu sana mmea huu. Majani yake yana harufu fulani kali hv, ni mchungu na una ladha ya uchungu/mwasho kuzidi tangawizi mbichi.Ukitafuna jani moja tu aisee, hahika lazima utatulia mahali kwanza kuvumilia muwasho wake. Lakini ni Tiba ya uhakika kwa matatizo mengi ya tumbo.
 
Asante sn
Kwa kulipata ss
 
Duh sasa kwa kuupata km huu ndo mtihani manaake yanafanana fanana
 
Kwani unauzwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…