Jitizame kama umerogwa ukiwa nyumbani kwako

Hakuna uchawi, kila anayeona karogwa yeye ndio mchawi
 

Maana yake wewe mroho[emoji23][emoji1787]


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Mkuu unaizungumziaje bange katika ushirikina ni kweli inaweza kukulinda dhidi ya nguvu za giza
 
Uchawi unaongoza sana kwenye jamii za kiislamu..hata kanda ya ziwa mitaa ya uswahilini yenye waislamu wengi ndio ushirikina wakutosha..hii dini ni ushirikina mtupu..ndio mana mnafuga majini wengi wenu kama sio ushirikina ni nini..hakuna wokovu bila kuamini na kuishi imani ya Yesu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkuu Hizbu Sharifu nina mtoto akiwa amelala anastuka stuka ninaweza kufanyaje kuzuia hii hali?

Pia ninataka kuchanganya mkaa na chumvi ya mawe niweke chini ya godoro, je hii inaweza kuwa kinga dhidi ya uchawi, au ina effect ya namna yoyote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi tukivilalia na leo kuna madhara mkuu?? Make mi asubuhi nilitandika ila nikaviacha palepale chini ya mto !
 
Live kabisa mzee,ila kujua nani ni nani ni ngumu,kwanza huwez kuwatazama mara mbili kwa jins wanavyotisha,halaf wanakua wamejipaka marangi meusi usoni......niliishia kupiga makelele nyumba nzima waliamka,Asee tusali sana wachawi are real!!
Mkuu uliwaona ukiwa upo kwenye usingizi au ni kwamba ulikaa macho bila kusinzia ndipo ukawaona?
 
Wacha banahhaya ni ya kweli?
 
Waliofanya na kuwa na majibu warejeshe matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…