Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
hilo jitu ni weweMama leo amechukia na kuamua kufunguka kwa codes.
Kwa haraka haraka, inavyoonekana kuna mtu, huenda ni maarufu au mzoefu ambaye alimuamini kutokana na exposure aliyeipata kimataifa kiasi cha kuamua kumteua idara fulani nyeti, ghafla mtu huyo amegeuka kuwa mwiba mkali wa kuiumiza serikali yake vibaya kwa 'kuchomoa betri'.
Hilo jitu ni nani hasa?
Je, bado lipo ndani ya mamlaka za kiserikali?
Ni kama vile ulikuwa akilini mwangu.February
alisoma Marekani na alienda na mkewe na wakawa wanaishi kwenye appartment ipo ghorofa ya 58 wakati huo mimi naishi Colorado wakazembea mtoto wao mdogo wa umri wa mwaka mmoja alidondoka kutoka dirishani hadi chini ila aliokolewa na zima moto na toka siku hiyo walimnyanga,'nya mtoto huyo
Kuficha uovu wala siyo uzalendoMama leo amechukia na kuamua kufunguka kwa codes.
Kwa haraka haraka, inavyoonekana kuna mtu, huenda ni maarufu au mzoefu ambaye alimuamini kutokana na exposure aliyeipata kimataifa kiasi cha kuamua kumteua idara fulani nyeti, ghafla mtu huyo amegeuka kuwa mwiba mkali wa kuiumiza serikali yake vibaya kwa 'kuchomoa betri'.
Hilo jitu ni nani hasa?
Je, bado lipo ndani ya mamlaka za kiserikali?
🤔 Kwamba ni kiparaFebruary
Mkuu kwamba JITU ni mzembe kiasi hicho?Tumerudi kutoka kwa Dilima na mabegi ya Unga.
Humu tuuu.
Ghorofa ya 58 hadi chini na akawa hai?alisoma Marekani na alienda na mkewe na wakawa wanaishi kwenye appartment ipo ghorofa ya 58 wakati huo mimi naishi Colorado wakazembea mtoto wao mdogo wa umri wa mwaka mmoja alidondoka kutoka dirishani hadi chini ila aliokolewa na zima moto na toka siku hiyo walimnyanga,'nya mtoto huyo
Huyo mtoto anaitwa nan?alisoma Marekani na alienda na mkewe na wakawa wanaishi kwenye appartment ipo ghorofa ya 58 wakati huo mimi naishi Colorado wakazembea mtoto wao mdogo wa umri wa mwaka mmoja alidondoka kutoka dirishani hadi chini ila aliokolewa na zima moto na toka siku hiyo walimnyanga,'nya mtoto huyo
Kwani yule alilamba teuzi?Itakuwa yule kigogo wa Twitter aliyeinyesha serikali enzi za jiwe..!!