Jitu alilolichukua kutoka huko nje na kuliteua ni nani hasa?

Jitu alilolichukua kutoka huko nje na kuliteua ni nani hasa?

Rais kalalamika, kwa sababu kaongea bila kutueleza anayemsema ni nani na kamchukulia hatua gani.

Na pale kaongea kama rais, hajaongea kama mwanamke wala Mzanzibari.

Asipojua kutenganisha hayo (urais, uanamke na uzanzibari) pia huo nao ni udhaifu.
Huu ndo ukweli mkuu.
 
inavyoonekana kuna mtu, huenda ni maarufu au mzoefu ambaye alimuamini kutokana na exposure aliyeipata kimataifa kiasi cha kuamua kumteua idara fulani nyeti, ghafla mtu huyo amegeuka kuwa mwiba mkali wa kuiumiza serikali yake vibaya kwa 'kuchomoa betri'.

Hilo jitu ni nani hasa?
Je, bado lipo ndani ya mamlaka za kiserikali?

Brasil, Brazil hadi St. Peter's Oysterbay

Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, watatu kutoka kulia ni Mama Balozi Jane Nchimbi, Bw. Frank J. Mhina, Afisa Ubalozi na Mkuu wa Utawala; na Bw. Suleiman Abubakar Mombo (the Plenipotentiary Minister of the Embassy) yaani Afisa Mwandamizi wa Ubalozi.
Katibu mkuu ni mtu aliye karibu sana na aliyekuwa afisa ubalozi ktk ubalozi wa Tanzania nchini Brazil ambaye sasa ni mkurugenzi mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Suleiman Mombo.

Nchimbi asichukizwe na tamko la CHADEMA, bali iwe chachu ya kuichagiza serikali ya CCM na vyombo vya dola kulipata hili dude lililowahifadhi watu wasiojulikana wanaoteka watu, kushikilia kupoteza na kuua :


13 September 2024

SAKATA LA UTEKAJI CCM WATOA TAMKO KUPITIA NCHIMBI, WACHUKIZWA NA KAULI ZA CHADEMA​


View: https://m.youtube.com/watch?v=wzhd5pVK0zs

Dr. Emmanuel Nchimbi na Suleiman Mombo wameishi jijini Brasil katika ubalozi wa Tanzania. Wameona na kusikia makundi ya kihalifu kule Ecuador, El Salvador na mataifa kadhaa ya bara la Latino Amerika ambayo yalikuja kuwa hatari siyo kwa raia tu bali hata serikali zilizo madarakani.

Ukaribu wa Katibu mkuu Emmanuel Nchiimbi na Mkuu wa Usalama wa Taifa Suleiman Mombo ni lulu ambayo ikitumika kwa uzuri na nia njema ya kukipata kikundi hiki cha wasiojulikana ni wakati huu wa sasa.

Dr. Emmanuel Nchimbi na mkuu Sukeiman Mombo waielekeze hali hiyo ya kuchukizwa kwa Kundi la Watu Wasiojulikana watumie ushawishi wao, rasilimali za serikali na waajiriwa safi wa vyombo vya ulinzi na usalama kuweza kuwatia mbaroni watu hawa wasiojulikana na kutupa umma mrejesho wa mafanikio ya kazi waliyopewa na mwenyekiti wa CCM ambaye ni rais wa JMT kuwasaka haraka watu hawa wanaoleta hofu kwa kuteka na kuua watu.
.PICHA TOKA MAKTABA :

Mhe. Rais Michel Temer na Waziri wa Mambo ya Nje wa Brazil Mhe. Aloysio Nunes Ferreira Filho (wa tatu kutoka kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, watatu kutoka kulia ni Mama Balozi Jane Nchimbi, Bw. Frank J. Mhina, Afisa Ubalozi na Mkuu wa Utawala; na Bw. Suleiman Abubakar Mombo (the Plenipotentiary Minister of the Embassy) yaani Afisa Mwandamizi wa Ubalozi.

Balozi Dkt. Nchimbi na Mama Balozi Jane Nchimbi, wakisindikizwa Mara baada ya kumaliza kuwasikisha hati za Utambulisho kwa Rais

1740795570402.jpeg


13 Jul 2024 — The appointment of Selemani Mombo as the new TISS Director General could have significant impacts on Tanzania's security and intelligence.
 
Naunga mkono hoja,mtu yeyote,anayelalamikia jambo lolote,ni dalili ya weakness,ila tofautisha kati ya kuongea na kulalamika!。

Rais ni ameongea sio emelalamika,the weak ndio wanalalamika ambayo ni weakness,the strong,hawalalamiki,wanaonyesha strength kwa ku take action!。

Kuongea kwa mipasho ni hulka ya wanawake wengi wa Pwani,hivyo Wazanzibari,mipasho ndio zao!。

Tena mipasho yake inatusaidia kutukuzia lugha yetu adimu ya Kiswahili, alipoingia tuu,alianza kwa neno ”kudemka”, akaja na “tusizinguane ukinizingua tutazinguana” kutupasha sisi media kuhusu kukuna na kupara!

P
Paskali bana yaan nakuona tu kama vile unatmani umchane bi mkubwa ila unajikaza tu! sema ya moyoni
 
Back
Top Bottom