Jitu alilolichukua kutoka huko nje na kuliteua ni nani hasa?

Jitu alilolichukua kutoka huko nje na kuliteua ni nani hasa?

Mama leo amechukia na kuamua kufunguka kwa codes.
Kwa haraka haraka, inavyoonekana kuna mtu, huenda ni maarufu au mzoefu ambaye alimuamini kutokana na exposure aliyeipata kimataifa kiasi cha kuamua kumteua idara fulani nyeti, ghafla mtu huyo amegeuka kuwa mwiba mkali wa kuiumiza serikali yake vibaya kwa 'kuchomoa betri'.

Hilo jitu ni nani hasa?
Je, bado lipo ndani ya mamlaka za kiserikali?
Jitu limegoma kuwa Chawa!!

Jitu oyeeeee!!
 
Kuna kitu kimoja ambacho walio wengi hamjui kuhusu January!
Hivi sasa yye ni mratibu wa IT wa ccm! Hivi unajua ccm wameingiza PC ngapi kwa ajili ya uchaguzi?
Nanda masaki ofsini kwa makambq
Zinasaidia nini hizo PC.

CCM hawshindani na mtu. Kwao uchaguzi ni vita, watu ukatwa, polisi kuia watu, wahuni wa UVCCM kuteka watu, kura feki.

Sasa vita yote ya nini
 
Katika uongozi hakuna kukaa kwa bahati mbaya. Kuna thorough vwtting.

Ukisema alikaa kwa bahati mbaya maana yake hapo hamna vetting.

Halafu hujajibu hoja yangu. Anayesemwa nani?

Nchi haitakiwi kuendeshwa kwa mipasho na vineno vya vijembe kama taarab.
Naunga mkono hoja,mtu yeyote,anayelalamikia jambo lolote,ni dalili ya weakness,ila tofautisha kati ya kuongea na kulalamika!。

Rais ni ameongea sio emelalamika,the weak ndio wanalalamika ambayo ni weakness,the strong,hawalalamiki,wanaonyesha strength kwa ku take action!。

Kuongea kwa mipasho ni hulka ya wanawake wengi wa Pwani,hivyo Wazanzibari,mipasho ndio zao!。

Tena mipasho yake inatusaidia kutukuzia lugha yetu adhimu ya Kiswahili, alipoingia tuu,alianza kwa neno ”kudemka”, akaja na “tusizinguane ukinizingua tutazinguana”, kisha akaja kutupasha sisi media kuhusu kukuna na kupara Uhuru wa Habari Tanzania: Kati ya Waparaji na Wakunaji Wazuri, Nani Watamsaidia Zaidi Rais Samia?. Tunakuomba Mama, Usiwaparure Waparaji!.
pia hapa Kauli ya Rais kwa waandishi 'Wapara' kuwa wakimpara "Atawaparua", Je Rais Samia ni katili?, Soma Jinsi ya kuwabaini makatili!. Ni kutumia macho tu!.
P
 
Naunga mkono hoja,mtu yeyote,anayelalamikia jambo lolote,ni dalili ya weakness,ila tofautisha kati ya kuongea na kulalamika!。

Rais ni ameongea sio emelalamika,the weak ndio wanalalamika ambayo ni weakness,the strong,hawalalamiki,wanaonyesha strength kwa ku take action!。

Kuongea kwa mipasho ni hulka ya wanawake wengi wa Pwani,hivyo Wazanzibari,mipasho ndio zao!。

Alipoingia tuu,alianza kwa kutupasha sisi media kuhusu kukuna na kupara!

P
Rais kalalamika, kwa sababu kaongea bila kutueleza anayemsema ni nani na kamchukulia hatua gani.

Na pale kaongea kama rais, hajaongea kama mwanamke wala Mzanzibari.

Asipojua kutenganisha hayo (urais, uanamke na uzanzibari) pia huo nao ni udhaifu.
 
Mama leo amechukia na kuamua kufunguka kwa codes.
Kwa haraka haraka, inavyoonekana kuna mtu, huenda ni maarufu au mzoefu ambaye alimuamini kutokana na exposure aliyeipata kimataifa kiasi cha kuamua kumteua idara fulani nyeti, ghafla mtu huyo amegeuka kuwa mwiba mkali wa kuiumiza serikali yake vibaya kwa 'kuchomoa betri'.

Hilo jitu ni nani hasa?
Je, bado lipo ndani ya mamlaka za kiserikali?
nahis atakua zuhura yunus yule alikua bbc akajiuzuru akapewa usemaj wa ikulu sas mkopo wa korea serkal imesem imepew mkopo mashart nafuu yeye akapost serkal imetoa madin gan sjui kitalu kwa wakolea wachimbe kama dhaman na kutup mkopo kitu kama iko akatumbuliwa simskii tena ila mawaz yngu labda kuna mwngine alitolew nje mie skumbuk
 
alisoma Marekani na alienda na mkewe na wakawa wanaishi kwenye appartment ipo ghorofa ya 58 wakati huo mimi naishi Colorado wakazembea mtoto wao mdogo wa umri wa mwaka mmoja alidondoka kutoka dirishani hadi chini ila aliokolewa na zima moto na toka siku hiyo walimnyanga,'nya mtoto huyo
Kamba za viatu
 
Back
Top Bottom