Jitu alilolichukua kutoka huko nje na kuliteua ni nani hasa?

Jitu alilolichukua kutoka huko nje na kuliteua ni nani hasa?

huenda ni maarufu au mzoefu ambaye alimuamini kutokana na exposure aliyeipata kimataifa kiasi cha kuamua kumteua idara fulani nyeti, ghafla mtu huyo amegeuka kuwa mwiba mkali wa kuiumiza serikali yake vibaya kwa 'kuchomoa betri'.
1748090346986.png
 
alisoma Marekani na alienda na mkewe na wakawa wanaishi kwenye appartment ipo ghorofa ya 58 wakati huo mimi naishi Colorado wakazembea mtoto wao mdogo wa umri wa mwaka mmoja alidondoka kutoka dirishani hadi chini ila aliokolewa na zima moto na toka siku hiyo walimnyanga,'nya mtoto huyo
Wakazi?😂😂
 
fimboyaukwaju tueleze kwa kina, alidondoka kutoka flow ya 58,akaokolewa akapona, how it was! 😈
 
Kuna kitu kimoja ambacho walio wengi hamjui kuhusu January!
Hivi sasa yye ni mratibu wa IT wa ccm! Hivi unajua ccm wameingiza PC ngapi kwa ajili ya uchaguzi?
Nanda masaki ofsini kwa makambq
Mahangaiko yote hayo ya nini wakati wanaweza kujitangaza tu washindi kirahisi!
 
Mama leo amechukia na kuamua kufunguka kwa codes.
Kwa haraka haraka, inavyoonekana kuna mtu, huenda ni maarufu au mzoefu ambaye alimuamini kutokana na exposure aliyeipata kimataifa kiasi cha kuamua kumteua idara fulani nyeti, ghafla mtu huyo amegeuka kuwa mwiba mkali wa kuiumiza serikali yake vibaya kwa 'kuchomoa betri'.

Hilo jitu ni nani hasa?
Je, bado lipo ndani ya mamlaka za kiserikali?
Hilo jitu ni jitu tu
 
Ni kama vile ulikuwa akilini mwangu.
Kila nikijaribu kuwaza tofauti ngoma inakataa kabisa.
Nahisi hili kombola ametumiwa kipara.
WRONG!
Kipara alisha ambiwa "alipigwa kikofi kidogo tu kumstua".
Huyo ni kukosekana kwa nafasi tu, angekuwa tayari ndani ya utumishi wa Samia.
 
Back
Top Bottom