Kwani dg wa tiss wa sasa kabla ya kuteuliwa alikuwa nani na wapi?Mama leo amechukia na kuamua kufunguka kwa codes.
Kwa haraka haraka, inavyoonekana kuna mtu, huenda ni maarufu au mzoefu ambaye alimuamini kutokana na exposure aliyeipata kimataifa kiasi cha kuamua kumteua idara fulani nyeti, ghafla mtu huyo amegeuka kuwa mwiba mkali wa kuiumiza serikali yake vibaya kwa 'kuchomoa betri'.
Hilo jitu ni nani hasa?
Je, bado lipo ndani ya mamlaka za kiserikali?
Kwani kusomea nje WANATEULIWA siku hizi?
Unamwuliza nani wakati we ndio umeleta uziMama leo amechukia na kuamua kufunguka kwa codes.
Kwa haraka haraka, inavyoonekana kuna mtu, huenda ni maarufu au mzoefu ambaye alimuamini kutokana na exposure aliyeipata kimataifa kiasi cha kuamua kumteua idara fulani nyeti, ghafla mtu huyo amegeuka kuwa mwiba mkali wa kuiumiza serikali yake vibaya kwa 'kuchomoa betri'.
Hilo jitu ni nani hasa?
Je, bado lipo ndani ya mamlaka za kiserikali?
Ukisikia JITU ni bonge la mirabaminne, linashabihiana na Wassira.hilo jitu ni wewe
Hayo yako kichwani mwakoKivuli Cha Tundu Lissu kinamuogopesha huyo mama mpaka anahisi alishawahi kumteua.
Mkuu Ulipoteaga wapi?Akishasema hivyo ujue Kuna mtu kapigwa chini,,kwenye kupiga chini huwa hauchelewi ukienda kinyume
Mtoto asiyejaa mkononi utamuitaje JITU, linatakiwa liwe la mirabaminne.Huyo mtoto anaitwa nan?
Alikaa kwa bahati mbaya haikuwa nafasi yake, wacha aendelee kujua na kuaibika. Unajua Mkuu kama nafasi ulipata kwa haki zote huwezi kuwa na itikadi za mipasho na kwenda kujipendekeza kwa Mashehe misikitini ili wapate kukusemea na wanaokusemea nao ni full mipasho.Anaonekana analalamika tu.
Kulalamika kwa mipasho si sifa ya kiongozi shupavu.
Kiongozi shupavu anakutajia jina huyu kaharibu hapa, tumempiga chini kwa sababu hii, zaidi, tunamshitaki mahakamani.
Sasa huyu Mama anatiwa vidole na wateule wake mwenyewe halafu analialia tu bila hata kutaja jina kama anawaogooa vile.
It's a very weak look.
Aisee kwamba wazalendo Watanganyika wanaowafikishia wananchi mipango miovu ya Siri ndo wanaitwa mijitu? Huyu SSH kama hajaanza dawa apewe!Mama leo amechukia na kuamua kufunguka kwa codes.
Kwa haraka haraka, inavyoonekana kuna mtu, huenda ni maarufu au mzoefu ambaye alimuamini kutokana na exposure aliyeipata kimataifa kiasi cha kuamua kumteua idara fulani nyeti, ghafla mtu huyo amegeuka kuwa mwiba mkali wa kuiumiza serikali yake vibaya kwa 'kuchomoa betri'.
Hilo jitu ni nani hasa?
Je, bado lipo ndani ya mamlaka za kiserikali?
No reform no erection
😂😂😂😂Kivuli Cha Tundu Lissu kinamuogopesha huyo mama mpaka anahisi alishawahi kumteua.