Jiulize; Ethiopia wana Dreamliner zaidi ya 20, SGR, barabara nzuri, flyover nyingi, lakini bado watu wake wanafia kwenye malori wakizamia Bondeni!

Mbona china ina watu lukuki lakini wako vizuri?,tatizo la ethiopia hakuna siasa safi..

..Ethiopia wangewekeza zaidi kwenye kilimo na ufugaji wangeweza kuwa na afadhali.

..Wamejitahidi kuwekeza kwenye viwanda lakini bado wameelemewa na mzigo wa vijana wasio na ajira.

..Vilevile nakubaliana kwa 100% na wewe kwamba Ethiopia wana siasa chafu, na ukabila, na hali hiyo inawarudisha nyuma.
 
..tatizo la Waethiopia ni idadi kubwa ya watu wao, hivyo uwekezaji ktk vitu umekuwa outpaced na population growth.

..tatizo lao lingine ni kwamba hawajawekeza vya kutosha ktk KILIMO na UFUGAJI sekta zinazogusa wananchi walio wengi.
Kwa hiyi Dreamliner na flyover havijawasaidia?

Na sisi je, hatuna tatizo la population, kwenye kilimo na ufugaji tuko sawa ndio maana tukahamia kwenye Dreamliner na Flyovers?
 
Kwa uongozi unaodai upo kwa ajili ya wanyonge ni wazi nitahoji. Mnyonge gani anapitisha gari lake kwenye flyover, anapanda Dreamliner?
Wanyonge ni wanaweza wasiwe na uwezo wa kupanda ndege, au kumilika magari, lakini kumbuka maendeleo ni kitu kipana uwezi ku target mtu mmoja mmoja una tagert group la watu tofauti tofauti ambao kama wao wakiwezeshwa kupitia wao watawawezesha wenzao, so hivyo vitu vinavyowekeza kuna group la watanzania wanavihitaji hasa watu wa (high na middle class economy) ambapo kupitia wao serikali inakusanya kodi kupitia shughuli zao, wanazalisha ajira kwa raia wenzao( hao wanyonge)

Pili, hao wanyonge wanaajiriwa kwenye hiyo miradi kazi ambazo labda mimi na wewe hatufanyi

Tatu, hiyo miundombinu itatumika kuwawezesha hao wanyonge kufikisha bidhaa zao kwenye masoko, matajiri kufuata bidhaa maeneo ya uzalishaji na mashambani.
 
Kwa hiyi Dreamliner na flyover havijawasaidia?

Na sisi je, hatuna tatizo la population, kwenye kilimo na ufugaji tuko sawa ndio maana tukahamia kwenye Dreamliner na Flyovers?

..Ningekuwa Jiwe, fedha za dreamliner, na kuhamia dodoma, ningezipeleka kwenye kilimo, ufugaji, na viwanda.

..Pia ningeachana kabisa na mambo ya kikatili dhidi ya vyama vya upinzani.
 
Tatizo ni kwamba nchi zinazoendeshwa kijamaa propaganda ni nyingi mno kuliko uhalisia, ndio maana watawala wanaishi kifalme na wanaabudiwa huku wavuja jasho wako taabani, wamejenga mfumo mpana wa kulindana kuliko uhalisia, ndio maana wanapenda amani kuliko haki, sababu ujamaa haupendi haki unapenda amani ili walio wachache waishi bila bughudha, ndio maana wakisemwa kidogo wanakosa amani na wanahofu juu ya mali zao, wewe angalia tu baadhi ya sheria, mfano Mr president hawezi shtakiwa, waziri mkuu, bado spika na jaji mkuu, yaani ni kulindana in short hao makosa yao mhukumu ni Mungu tu, hapa duniani wamepalizwa na hawana makosa, this is shame, na ujanja huu upo kwenye vinchi masikini vilivyojaa rushwa,uonevu na ukandamizaji tu, watu weusi sisi tuna mambo tunafanya mpaka unajiuliza what's this!?
Then whites wakituona wapuuzi na brainless tunaona njia ya kujipooza ni kuwatukana ilihali tunawalilia shida kila leo basi tu wanahuruma na sisi.
 
..usisahau kwamba Ethiopia wamewekeza kwenye VIWANDA kuliko Tanzania.

..tatizo la Waethiopia ni idadi kubwa ya watu wao, hivyo uwekezaji ktk vitu umekuwa outpaced na population growth.

..tatizo lao lingine ni kwamba hawajawekeza vya kutosha ktk KILIMO na UFUGAJI sekta zinazogusa wananchi walio wengi.
Kwaiyo tz wamewekeza kwenye kilimo na ufugaji, unazidi mifugo iliyopo ethiopia jaribu kuangalia vizur ethiopia ni wafugaji sana
 
Kwanamna meko alivo jinasibu yakua ni rais wa wanyonge asinge vipa kipaumbele vimiradi vyake hiv vya mafly over na mabwawa ya umeme ange angalia chini kabisa namna ya kumusaidia mnyonge. Na ninakuambia meko anachukiwa na idadi kubwa ya watu kwani siasa zake ni za ajabu kabisa
 
Ni afadhali CCM wameamua kukaa kimya kuhusu kujisifia kwamba wameleta maendeleo nchini sijui wamenunua Dreamliner mbili, wamejenga flyover Tazara na nyingine Ubngo kwa hiyo wameleta maendeleo Tanzania, na hiyo iwe sababu ya kuwachagua tena. Maendeleo kwa ajili ya nani? Bibi yangu kule kwetu Kishimundu?

Inakuwaje CCM wanashindwa kuwa na macho ya kuona kwamba karibu kila mwezi hapa nchini Wa-Ethiopia wanakamatwa kwenye malori wakisafirishwa kimagendo kwenda Afrika Kusini, na wengine kufia ndani ya malori hayo na maiti zao kutupwa porini?

Kama kuwa na SGR, floover, Dreamliner sijui ni maendeleo, kwa nini Wa-Ethiopia kwa maelefu wanazikimbia Dreamliner zao 25, Boeing 777 zaidi ya 16, Airbus 350-900 mpya 14, SGR, flyovers kila mahali, l na kuzamia Afrika Kusini?

Iweje Tanzania tunakuwa wepesi wa kusema tunamuenzi Nyerere huku tunasahau maneno yake kwamba maendeleo sio kuwa na majengo au barabara za ghorofa au ndege? Kwa nini tunasahau Nyerere alikataa kwa miaka mingi Tanzania kuwa na Television akisema kuna mambo muhimu ya kufanya kwanza?

Tafadhali niambieni bibi yangu kule Kishimundu atafaidika vipi na Mfugale flyover hapa Dar es Salaam, au daraja la juu ya bahari, na hapo mtakuwa mmenishawishi kwamba Tanzania tumeendelea sana katika kipindi cha miaka mitano iliyopita!
Points zako hazina mashiko kabisa...
 
Kwaiyo tz wamewekeza kwenye kilimo na ufugaji, unazidi mifugo iliyopo ethiopia jaribu kuangalia vizur ethiopia ni wafugaji sana

..Usiangalie idadi ya mifugo waliyonayo tu.

..zingatia thamani na ubora wa mifugo hiyo.

..Ukiangalia ratio ya mifugo per number of ppl ktk Tz na Ethio utaona kwamba hatuna tofauti kubwa.

..Ukienda ndani zaidi ukaangalia number of ppl per square miles kati ya Tz na Ethio utaona nafuu tuliyonayo waTz.

..Mwisho sasa zingatia kwamba Ethiopia wana eneo kubwa ambalo siyo rafiki kwa kilimo.

NB:

Idadi ya watu:
Tanzania ni ~ 56 million.
Ethiopia ni ~ 109 million.

Idadi ya ng'ombe:
Tanzania ni ~ 25 million.
Ethiopia ni ~ 54 million.

Ukubwa wa eneo:
Tanzania ~ 364900 sq miles.
Ethiopia ~ 426,400 sq miles.

cc Chige, Nguruvi3
 
Ni afadhali CCM wameamua kukaa kimya kuhusu kujisifia kwamba wameleta maendeleo nchini sijui wamenunua Dreamliner mbili, wamejenga flyover Tazara na nyingine Ubngo kwa hiyo wameleta maendeleo Tanzania, na hiyo iwe sababu ya kuwachagua tena. Maendeleo kwa ajili ya nani? Bibi yangu kule kwetu Kishimundu?

Inakuwaje CCM wanashindwa kuwa na macho ya kuona kwamba karibu kila mwezi hapa nchini Wa-Ethiopia wanakamatwa kwenye malori wakisafirishwa kimagendo kwenda Afrika Kusini, na wengine kufia ndani ya malori hayo na maiti zao kutupwa porini?

Kama kuwa na SGR, floover, Dreamliner sijui ni maendeleo, kwa nini Wa-Ethiopia kwa maelefu wanazikimbia Dreamliner zao 25, Boeing 777 zaidi ya 16, Airbus 350-900 mpya 14, SGR, flyovers kila mahali, l na kuzamia Afrika Kusini?

Iweje Tanzania tunakuwa wepesi wa kusema tunamuenzi Nyerere huku tunasahau maneno yake kwamba maendeleo sio kuwa na majengo au barabara za ghorofa au ndege? Kwa nini tunasahau Nyerere alikataa kwa miaka mingi Tanzania kuwa na Television akisema kuna mambo muhimu ya kufanya kwanza?

Tafadhali niambieni bibi yangu kule Kishimundu atafaidika vipi na Mfugale flyover hapa Dar es Salaam, au daraja la juu ya bahari, na hapo mtakuwa mmenishawishi kwamba Tanzania tumeendelea sana katika kipindi cha miaka mitano iliyopita!

SHAREDEthiopian MPs scolded for their fashion choices​

Kalkidan Yibeltal
BBC News, Addis Ababa
Abiy Ahmed

AFPCopyright: AFP
Ethiopia's Prime Minister Abiy Ahmed has dressed downed members of the house of representatives about their sartorial choices, saying his locally-made suit was "superior" to what the MPs were wearing.
"This fabric I am wearing is from the Konta area [south western Ethiopia]," Mr Abiy has said.
"I believe this clothing if not superior to the suits you are wearing, it is at least not inferior. It’s handmade. Its quality is high. If I don’t respect and show it, who will?" he said.
He told them to value products made in Ethiopia.
Members of Ethiopia's house of representatives

Twitter @AbiyAhmedAliCopyright: Twitter @AbiyAhmedAli
The prime minister was answering questions from MPs, which also included growing tension between the federal government and the regional authorities in Tigray region, which he said "will be resolved by the law."
He also addressed the recurring violence in the western Ethiopian state of Benishangul-Gumuz where dozens of people have been killed in ethically motivated violence since September.
Mr Abiy said the violence is likely being sparked by efforts to undermine the country's mega dam project which is being built in the region.
 
SHAREDEthiopian MPs scolded for their fashion choices​

Kalkidan Yibeltal
BBC News, Addis Ababa
View attachment 1605536
AFPCopyright: AFP
Ethiopia's Prime Minister Abiy Ahmed has dressed downed members of the house of representatives about their sartorial choices, saying his locally-made suit was "superior" to what the MPs were wearing.
"This fabric I am wearing is from the Konta area [south western Ethiopia]," Mr Abiy has said.
"I believe this clothing if not superior to the suits you are wearing, it is at least not inferior. It’s handmade. Its quality is high. If I don’t respect and show it, who will?" he said.
He told them to value products made in Ethiopia.
View attachment 1605537
Twitter @AbiyAhmedAliCopyright: Twitter @AbiyAhmedAli
The prime minister was answering questions from MPs, which also included growing tension between the federal government and the regional authorities in Tigray region, which he said "will be resolved by the law."
He also addressed the recurring violence in the western Ethiopian state of Benishangul-Gumuz where dozens of people have been killed in ethically motivated violence since September.
Mr Abiy said the violence is likely being sparked by efforts to undermine the country's mega dam project which is being built in the region.
Sijaona connection Mkuu
 
Kuna nduguzako walikuja na hadithi za Ethiopia kuwa na ma fly over ya nguvu na ndege lakini watu wanakimbia Nchi

Hahaha! Ndio thread yenyewe Mkuu niliyoandika. Ethiopia bado hata wana tatizo la chakula cha kutosha, ajira nk, lakini wana shirika la ndege mojawapo kubwa duniani. Hatutarajii kuwafikia Ethiopian Airlines hata miaka 20 ijayo. Labda vitu kama ATCL kwenda Bombay sijui havipaswi kuwa focus ya maendeleo ya nchi, tunge focus ATCL kwenda Mtwara.Igoma nk kwa bei nafuu tupunguze ajali za mabasi. Drealiner moja ilipaswa kununua Bombardier tatu kwa ajili ya domestic flights tu, tuwe nazo kama 30 asubuhi airport Dar inakuwa busy bna flights za mikoani kama Stand ya mabasi ya mikoani ya Ubungo
 
Wanyonge ni wanaweza wasiwe na uwezo wa kupanda ndege, au kumilika magari, lakini kumbuka maendeleo ni kitu kipana uwezi ku target mtu mmoja mmoja una tagert group la watu tofauti tofauti ambao kama wao wakiwezeshwa kupitia wao watawawezesha wenzao, so hivyo vitu vinavyowekeza kuna group la watanzania wanavihitaji hasa watu wa (high na middle class economy) ambapo kupitia wao serikali inakusanya kodi kupitia shughuli zao, wanazalisha ajira kwa raia wenzao( hao wanyonge)

Pili, hao wanyonge wanaajiriwa kwenye hiyo miradi kazi ambazo labda mimi na wewe hatufanyi

Tatu, hiyo miundombinu itatumika kuwawezesha hao wanyonge kufikisha bidhaa zao kwenye masoko, matajiri kufuata bidhaa maeneo ya uzalishaji na mashambani.
Ndio maana nikauliza, Ethiopian Airways ambayo huenda ni kubwa mara 50 ya ATCL, imekuwa na mchango gani mkubwa kwa Ethiopia, ajira? Unaweza kuema kwa uhakika kwamba Ethiopian Airlines imekuwa na mchango mkubwa sana kwa Waithiopia mmoja mmoja?
 
Hahaha! Ndio thread yenyewe Mkuu niliyoandika. Ethiopia bado hata wana tatizo la chakula cha kutosha, ajira nk, lakini wana shirika la ndege mojawapo kubwa duniani. Hatutarajii kuwafikia Ethiopian Airlines hata miaka 20 ijayo. Labda vitu kama ATCL kwenda Bombay sijui havipaswi kuwa focus ya maendeleo ya nchi, tunge focus ATCL kwenda Mtwara.Igoma nk kwa bei nafuu tupunguze ajali za mabasi. Drealiner moja ilipaswa kununua Bombardier tatu kwa ajili ya domestic flights tu, tuwe nazo kama 30 asubuhi airport Dar inakuwa busy bna flights za mikoani kama Stand ya mabasi ya mikoani ya Ubungo
Nafikiri aim yetu sio kuwafikia Ethiopian airlines, bali kujaribu ku meets challenges tukio nazo kwa local flights na international market na hasa hasa kuiwezesha tourism industry yetu kwa kuleta watalii wengi zaidi
 
MKuu, huhitaji kuwa na airlines ya taifa yenye international flights ili kuboresha tourism. In fact kuwa na domestic network nzuri ni muhimu sana kwa tourism, unachofanya ni kuwa na code sharing na airlines kubwa kama KLM, Swiss, Ethiopian Airlines nk.

Seychelles wana international airline gani? Mbona tourism yao iko juu sana? Maldives? Malta Island?

Kwa hiyo assumption kwamba tununue Dreamliner kukuza tourism Tanzania lilikuwa ni wazo ambalo linaweza kutoka kwa mkemia tu, sio mtu anaejua tourism management. Amini nakuambia, tungetaka kukuza tourism local and international, tulipaswa tuimarishe sana domestic flights. Kila siku asubuhi international flights zinapoingia unakuwa na flight kwenda kila mkoa, na mchana flights kutoka kila mkoa.
 
Back
Top Bottom