Jiulize ni kwanini Jordan na wengine wamekataa kupokea wakimbizi wa Palestine

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Wapalestina wa buza na kitambaa cheupe mna habari?

Taarifa ni kuwa Jordan, Egypt, Syria, Lebanon, Iraq, Saudi Arabia and Kuwait wamekataa kuwapokea wakimbizi wa palestine.

Kumbukeni nchi hizi ni jamii moja huku wakishare dini moja na itikadi moja. Sasa leo wamewakimbia kama hawawajui.

Issue ni kuwa nchi hizi zinaogopa jini waliloliunda wenyewe, haha, wanawaelea muziki wake ndio maana hawataki waingilie.

Hawataki kufanya kosa kama kipindi Lebanon ilivyofanya kosa kuchukua wakimbizi kutoka Palestine alafu wakaanzisha mavuragano nchini mwao.
 
Jordan inawaogopa wapalestina kwasababu wana historia nao mbaya. Walishawahi kuwakaribisha, na hadi sasa kuna wakimbizi wengi wa Palestina nchini Jordan lakini wakapanga mpango kupindua serikali ya Mfalme wa Jordan na walishawahi assassinate Waziri Mkuu wa Jordan. Hao jamaa ukiwakaribisha jiandae kupigana nao vita muda ujao. ndivyo walivyofanya pia Lebanon.
 
jordan inawaogopa wapalestina kwasababu wana historia nao mbaya. walishawahi kuwa karibisha, na hadi sasa kuna wakimbizi wengi wa palestina jordan lakini wakapanga mpango kupindua serikali ya Mfalme wa JOrdan na walishawahi assassinate waziri mkuu wa jordan. hao jamaa ukiwakaribisha jiandae kupigana nao vita muda ujao. ndivyo walivyofanya pia Lebanon.
Palstine ni wakorofi sana
 
Kwanini wakawe wakimbizi?
Kwa akili yako ndogo umedhani wanafanya hivyo kuwakomoa?
Mpango wa Israel ni watu wa gaza watoke, wakiwa wakimbizi mpango umetimia.
 
Hili swala ni ligumu sana kwakweli na nyuma ya pazia kuna kitu kigumu na tusichoweza kuona kwa macho ya kawaida mpaka tungalikuwa washirika wa karibu na mmoja wapo katiyao, maana Egipty anagoma kufunguwa mpaka kwanini? na wakati watu wanakufa? kuna jambo lipo nyuma hatuliwezi kuliona kirahisi.
 
Wapalestina wa buza na kitambaa cheupe mna habari?

Taarifa ni kuwa Jordan, Egypt, Syria, Lebanon, Iraq, Saudi Arabia and Kuwait wamekataa kuwapokea wakimbizi wa palestine.

Kumbukeni nchi hizi ni jamii moja huku wakishare dini moja na itikadi moja. Sasa leo wamewakimbia kama hawawajui.

Issue ni kuwa nchi hizi zinaogopa jini waliloliunda wenyewe, haha, wanawaelea muziki wake ndio maana hawataki waingilie.

Hawataki kufanya kosa kama kipindi Lebanon ilivyofanya kosa kuchukua wakimbizi kutoka Palestine alafu wakaanzisha mavuragano nchini mwao.

Kwanini tatizo la Israel liwe la mwingine? Washikilie hapo. Israel iwapokee wakimbizi wote. Si inapigana na HAMAS, ama?
 
Wapalestina wa buza na kitambaa cheupe mna habari?

Taarifa ni kuwa Jordan, Egypt, Syria, Lebanon, Iraq, Saudi Arabia and Kuwait wamekataa kuwapokea wakimbizi wa palestine.

Kumbukeni nchi hizi ni jamii moja huku wakishare dini moja na itikadi moja. Sasa leo wamewakimbia kama hawawajui.

Issue ni kuwa nchi hizi zinaogopa jini waliloliunda wenyewe, haha, wanawaelea muziki wake ndio maana hawataki waingilie.

Hawataki kufanya kosa kama kipindi Lebanon ilivyofanya kosa kuchukua wakimbizi kutoka Palestine alafu wakaanzisha mavuragano nchini mwao.
Mh. Lowasa alisema elimu, elimu, elim baadhi tukamcheka nikiwemo Mimi kumbe alimaanisha
 
Back
Top Bottom