Jiulize ni kwanini Jordan na wengine wamekataa kupokea wakimbizi wa Palestine

Wapalestina wa buza na kitambaa cheupe mna habari?

Taarifa ni kuwa Jordan, Egypt, Syria, Lebanon, Iraq, Saudi Arabia and Kuwait wamekataa kuwapokea wakimbizi wa palestine.

Kumbukeni nchi hizi ni jamii moja huku wakishare dini moja na itikadi moja. Sasa leo wamewakimbia kama hawawajui.

Issue ni kuwa nchi hizi zinaogopa jini waliloliunda wenyewe, haha, wanawaelea muziki wake ndio maana hawataki waingilie.

Hawataki kufanya kosa kama kipindi Lebanon ilivyofanya kosa kuchukua wakimbizi kutoka Palestine alafu wakaanzisha mavuragano nchini mwao.
Kabla ujapost ujinga jaribu kuuliza au kusoma historia haya chukuwa hii itakusaiidia.

Zaidi ya wakimbizi milioni 2 wa Kipalestina waliosajiliwa wanaishi Jordan, idadi kubwa zaidi ya wakimbizi wote wa Kipalestina..

Acha ushabiki mandazi.
 
Wapalestina wa buza na kitambaa cheupe mna habari?

Taarifa ni kuwa Jordan, Egypt, Syria, Lebanon, Iraq, Saudi Arabia and Kuwait wamekataa kuwapokea wakimbizi wa palestine.

Kumbukeni nchi hizi ni jamii moja huku wakishare dini moja na itikadi moja. Sasa leo wamewakimbia kama hawawajui.

Issue ni kuwa nchi hizi zinaogopa jini waliloliunda wenyewe, haha, wanawaelea muziki wake ndio maana hawataki waingilie.

Hawataki kufanya kosa kama kipindi Lebanon ilivyofanya kosa kuchukua wakimbizi kutoka Palestine alafu wakaanzisha mavuragano nchini mwao.
Hapana, huo ni mtazamo wako, ni hivi kukubali Wapaletina waondoke wapelekwe ukumbizini maana yake ni kumwachia Israeli amelize na hicho kipande kidogo cha ardhi ya Wapaletina kukikalia. Sababu ya kukataa ni kushinikiza upatikane muafaka na Wapaletina wabaki nchini kwao.
 
Wapalestina wa buza na kitambaa cheupe mna habari?

Taarifa ni kuwa Jordan, Egypt, Syria, Lebanon, Iraq, Saudi Arabia and Kuwait wamekataa kuwapokea wakimbizi wa palestine.

Kumbukeni nchi hizi ni jamii moja huku wakishare dini moja na itikadi moja. Sasa leo wamewakimbia kama hawawajui.

Issue ni kuwa nchi hizi zinaogopa jini waliloliunda wenyewe, haha, wanawaelea muziki wake ndio maana hawataki waingilie.

Hawataki kufanya kosa kama kipindi Lebanon ilivyofanya kosa kuchukua wakimbizi kutoka Palestine alafu wakaanzisha mavuragano nchini mwao.
Kwa sababu wakiruhusu wakimbie watamwachia mwizi atawale nchi yao
 
Wanaume hawahami nchi yao kijinga, hata wakihama ndio itakua hatari zaidi, wana haki na pale walipoachiwa na mababu zao, afu Al Qudsu vipi, waachiwe wainajis. Yahudi atachemsha tu anashindana na nguvu za aliyemuumba,
 
Sio kweli, hiyo Jordan yenyewe 60% ya raia wake ni wapalestina!!
Walichosema ni kwamba wakiondoka hapo Israel inaweza occupy Gaza na kufanya sehemu ya Israel.
kama hujui, hao 60% palestinians in Jordan, sio raia, hawamiliki hata ardhi, na wanachaguliwa hata professions za kushika. they are not jordanians, they are palestinians. walishajaribu mara kadhaa kuipindua monarchy ya Jordan, walishaua hadi waziri mkuu, lengo ni kuibadilisha jordan iwe palestina,iwe ya kwao.
 
Zalensky alishtuka mwishoni kabisa ndio akazuia watu wake hasa wanaume wasitoke nje wabaki waipiganie nchi yao .

Hizo nchi ulizozitaja zinaonesha mapenzi ya dhati kabisa Kwa jamaa yao

MAGUFULI4LIFE.
Zelensky alishtuka mwisho upi. Katiba ya Ukraine aliyoikuta Zelensky inataka wanaume age fulani ikitokea kuna vita waitwe kwenye mass mobilization. Sio sulala la Zelensky ni takwa la kikatiba la Ukraine.

Na walianza since day one wamevamiwa. Wanaume walikuwa wanapeleka familia zao vituo vya treni wanarudi miji ya vita, familia zinaenda Magharibi mwa nchi au Poland.
 
Misri haiwezi wapokea Wapalestina wa Gaza sababu Hamas ilianzishwa na Muslin Brotherhood ambao wana msimamo mkali. Angalau ingeweza kuwapokea kama wangetoka West Bank.
Muslim Brotherhood imepigwa marufuku Misri na Saudi Arabia, ni kama kundi la kigaidi na Rais pekee kutoka kundi hilo pale Misri akipinduliwa na El-Sisi wa sasa, akafia jera kwa kesi za kusingiziwa.

Serikali ya Misri lazima iwaogope wasije lipiza kisasi. Wapalestina ndio walimuua Anwar Sadat aliposaini mkataba wa amani na Israel. Walitaka aendelee kupigana vita aumize nchi yake kisa wao, hawakuona kwamba Misri uwezekano wa kuishinda Israel haupo wao wanalazimisha ijitoe mhanga.

Kule Jordan walitaka kumuua King Hussein mara mbili. Wakamuua Waziri Mkuu wake. Wakawa wanatembea na silaha barabarani na wanazozana na jeshi. Wakapiga marufuku polisi au jeshi kufanya patrol kwenye kambi zao, wakati ziko Jordan. Wakaanza mashambulizi ya kigaidi na kuteka Wayahudi wakiwa Jordan.
Nchi ikaanza kumshinda King Hussein alipoamua kuwashambulia ikatokea Syrian Army imekuja kuivamia Jordan kuwatetea. Jordan ikapiga Syrian Army sababu haikuwa na cover ya Air Force mkuu wake alikataa kwenye mzozo wa ama waende ama wasiende, mkuu wa Air Force pale Syria alikuwa Hafez al Assad akaipindua serikali kwenye harakati za mgogoro huo. Ona sasa Wapalestina wakasababisha mapinduzi Syria.

Iraq ilitaka kupeleka jeshi kusaidia Wapalestina wapigane na Jordan. Waziri wa Ulinzi akakataa (third in command kwa serikali ile). Saddam Hussein alikuwa na wivu na anataka apande vyeo baadae afanye mapinduzi. Akamuua yule Waziri kisa Wapalestina, akawa ndiye third in command baadae akaipindua serikali. Hajawahi leta kiherehere kwao tena akawa busy kupigana na Iran. Ona hapo Wapalestina walisababisha Waziri auwawe na serikali ipinduliwe pale Iraq.

Kule Jordan wakatimuliwa wakaenda Lebanon. Wakaanzisha vita, nchi ikawa maskini mpaka leo tabu tupu. Wakati Lebanon ilikuwa nchi ya Kiarabu yenye Ufaransa flani ndani yake. Wakristo na Waislamu wanaishi vizuri sana. Leo nchi imekufa kisa Wapalestina.

Hapohapo Palestina mwaka 2007 walikuwa na vita ya wenyewe kwa wenyewe kati ya Fatah na Hamas. Fatah na Mahmoud Abbas ikabaki West Bank, Hamas na Haniyeh ikabaki Gaza. Hamna Mwarabu mwendawazimu atawapokea, wacha waende kwenye kisingizio cha "wabaki uko ili Israel isichukue ardhi yao".
 
👏🏾👏🏾 umedadavua vizuri, kongole bro
 
Kwanini wakawe wakimbizi?
Kwa akili yako ndogo umedhani wanafanya hivyo kuwakomoa?
Mpango wa Israel ni watu wa gaza watoke, wakiwa wakimbizi mpango umetimia.
na wakitoka hawarudi jamaa wamebeba nchi,,,,,,,,,waarabu wameshtukia hilo
 
kama hujui, hao 60% palestinians in Jordan, sio raia, hawamiliki hata ardhi, na wanachaguliwa hata professions za kushika. they are not jordanians, they are palestinians. walishajaribu mara kadhaa kuipindua monarchy ya Jordan, walishaua hadi waziri mkuu, lengo ni kuibadilisha jordan iwe palestina,iwe ya kwao.
Ndio nasema kama wapo Jordan it means walipokelewa wakati mlidai hakuna nchi inayoweza wapokea.
 
kuwapokea wanapokelewa, ila hata jordan inawaogopa kwasababu walishataka kupindua mfalme wao na walishaua hadi waziri mkuu wao ili kuteka nchi ya jordan iwe ya kipalestina. wote wanaoishi jordan wanaishi kama wakimbizi. nchi zingine zinaogopa kuwapokea, misri inaogopa kwasababu hamas ni matunda ya muslim brotherhood ambao hata hapa bongo wapo, na muslm brotherhood ni shirika la kutengeneza magaidi, misri wanaogopa wapalestina wakija kwao watajiunga na vikundi vya ugaidi na kiupindua serikali ya misri kama ilivyo kawaida yao kila wanakoenda.
 
Wapalestina wa buza na kitambaa cheupe mna habari?

Taarifa ni kuwa Jordan, Egypt, Syria, Lebanon, Iraq, Saudi Arabia and Kuwait wamekataa kuwapokea wakimbizi wa palestine.

Kumbukeni nchi hizi ni jamii moja huku wakishare dini moja na itikadi moja. Sasa leo wamewakimbia kama hawawajui.

Issue ni kuwa nchi hizi zinaogopa jini waliloliunda wenyewe, haha, wanawaelea muziki wake ndio maana hawataki waingilie.

Hawataki kufanya kosa kama kipindi Lebanon ilivyofanya kosa kuchukua wakimbizi kutoka Palestine alafu wakaanzisha mavuragano nchini mwao.
Palestinians(wafilisti) ni virusi, na hizo nchi zinajua.
 
kuwapokea wanapokelewa, ila hata jordan inawaogopa kwasababu walishataka kupindua mfalme wao na walishaua hadi waziri mkuu wao ili kuteka nchi ya jordan iwe ya kipalestina. wote wanaoishi jordan wanaishi kama wakimbizi. nchi zingine zinaogopa kuwapokea, misri inaogopa kwasababu hamas ni matunda ya muslim brotherhood ambao hata hapa bongo wapo, na muslm brotherhood ni shirika la kutengeneza magaidi, misri wanaogopa wapalestina wakija kwao watajiunga na vikundi vya ugaidi na kiupindua serikali ya misri kama ilivyo kawaida yao kila wanakoenda.
Kihistoria mbona hao wayahudi walikua wanakataliwa kila walipokua wanaenda? utalinganisha na Palestines?
 
ila wayahudi hawakuwa wanapindua serikali za waliowapokea kama wanavyofanya wapalestina. majority ya hao wapalestina ni magaidi.
Sio kweli, hivi kuna watu walikua wana ushawishi kwenye siasa za nchi walizoenda kuliko wenyeji kama wayahudi?. Ona hata USA wamehodhi maeneo muhimu
 
to
Sio kweli, hivi kuna watu walikua wana ushawishi kwenye siasa za nchi walizoenda kuliko wenyeji. Ona hata USA wamehodhi maeneo muhimu
tofautisha ushawishi, na ugaidi wa kuchinja vitoto vya lebanon, kuua waziri mkuu wa jordan muislam mwenzao na yale yaliyofanywa israel juzi kuchoma moto watoto wadogo wakiwa hai. wao wana ushawishi wa kipesa na kiprofessions, kama haujui, hakuna myahudi masikini duniani, wanapiga sana kitabu, wanatafuta sana maisha, na wanasaidiana san akwasababu wanajijua kuwa hawapendwi na kwasababu hiyo wamejikuta ni waamuzi wa dunia. ila sio wauaji wa jihad kama ninyi.
 
tofautisha ushawishi, na ugaidi wa kuchinja vitoto vya lebanon, kuua waziri mkuu wa jordan muislam mwenzao
Hivi hujui list ya Marais waliouawa na Wayahudi? Kafuatilie Russian Revolution au World War 1 huko ujerumani wayahudi walihujumu serikali ya kaiser Willhelm 1 ili ikidondoka wao wabakie wamehodhi uchumi. Na hiki ndio kilifanya Hitler aje kuwaua? Hata huko Urusi Lenin aliwamaliza wayahudi sababu walikua wanahujumu mapinduzi!!

So hata wayahudi historically wamekua wakihujumu serikali za nchi wenyeji, recently walihusika na kudhamini mauaji huko DRC ili wachukue madini ya Cobalt kutengenezea gadgets
 
Back
Top Bottom