Palstine ni wakorofi sanajordan inawaogopa wapalestina kwasababu wana historia nao mbaya. walishawahi kuwa karibisha, na hadi sasa kuna wakimbizi wengi wa palestina jordan lakini wakapanga mpango kupindua serikali ya Mfalme wa JOrdan na walishawahi assassinate waziri mkuu wa jordan. hao jamaa ukiwakaribisha jiandae kupigana nao vita muda ujao. ndivyo walivyofanya pia Lebanon.
Same to Jews!! Kila nchi walioenda walikataliwa na kuuwawa!!shida wapalestina wana historia mbaya wakikaribishwa kwa watu unampa lifti ila hadi honi atataka apige................
Wapalestina wa buza na kitambaa cheupe mna habari?
Taarifa ni kuwa Jordan, Egypt, Syria, Lebanon, Iraq, Saudi Arabia and Kuwait wamekataa kuwapokea wakimbizi wa palestine.
Kumbukeni nchi hizi ni jamii moja huku wakishare dini moja na itikadi moja. Sasa leo wamewakimbia kama hawawajui.
Issue ni kuwa nchi hizi zinaogopa jini waliloliunda wenyewe, haha, wanawaelea muziki wake ndio maana hawataki waingilie.
Hawataki kufanya kosa kama kipindi Lebanon ilivyofanya kosa kuchukua wakimbizi kutoka Palestine alafu wakaanzisha mavuragano nchini mwao.
Mh. Lowasa alisema elimu, elimu, elim baadhi tukamcheka nikiwemo Mimi kumbe alimaanishaWapalestina wa buza na kitambaa cheupe mna habari?