Pre GE2025 Jiunge na Harakati za Mabadiliko: CHADEMA Inakuhitaji Leo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Subiri kwanza Tupate mwongozo kutoka kwa Utawala Mpya.

Tusije changa kumbe zinachepukia kwa kina Wenje.πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Mtueleze kwanza hela za join the chain ziko wapi? Chadema kila siku mnasema CCM imewafanya watanzania kuwa maskini, sasa leo wamegeuka matajiri mnawaomba michango? Acheni utapeli.
Suala la hela za join the chain bila shaka lilitolewa ufafanuzi na katibu mkuu wa chama recently.

Suala la CCM kuwafanya watanzania kuwa maskini hilo ni kweli na halina shaka ndani yake
 
Chadema ilikuwa chini ya ukoloni.

Sasahv ndio kama imepata ukombozi.

Within 5 next years CHADEMA itakuwa strong bila kutegemea hizi hela za uanachama kama main source of income
Okay
 
Mbona namba za kuchangia zimewekwa account na M pesa number ila ukitaka kuwa mwanachama ndio hayo mambo ya kulipia kadi kama zilivyoorodheshwa.

Mbowe waliingiza pesa nyingi sana kupitia michango ila kulikua na upigaji mwingi. Hata training tu ngazi ya wilaya hadi atumwe ofisa wa makao makuu!!

Ila kwa kuwa Lissu ni msafi na Mnyika ni msafi basi tutarajie kila senti kutumika kihalali
 
Jambo jema
 
Mnyika na Lissu ni wasafi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Okay
 
Yes umewahi sikia scandal gani ya ufisadi kwa hao wawili? Hata lissu alimu attack Mbowe na wenje kwa ufisadi ila Mnyika hajawahi kuhusika na ufisadi.
Kaka with all the due respect achana na mambo ya kusifia binadamu... Just achana nayo....

Usafi na Uchafu wa mtu ni suala la Muda...

Wachana kabisa na suala la kuita watu wasafi kwenye siasa.... Mengine tunayajua tunakaa kimya.

Hata hivyo Hoja za CDM kufanya fund raising ya zima moto doesn't resonate well with me.
 
Zima moto ndio nini? Kwani kilipoanzishwa miaka zaidi ya 30 iliyopita kiliendeshwaje na hakikuwa na ruzuku kubwa kwa miaka kama 15 ya kwanza. Kwahiyo ukishakua na capital ya wanachama million 1+ huwezi sema changizo ni zimamoto wakati hata USA vyama vinalipiwa membership card
 
Tuupe Muda na wakati nafasi.

Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…