Kaole Sanaa GroupYalikuwa maigizo yale... Yule mzee alikuwa muongo na muigizaji sana
Eti wezi wanakuwa mbele za watu tena wakiwa huru kiasi hiki? Mkuu hizi ndo vichekeshoMitano tena kwakeView attachment 2502893
Mbele ya Maraisi wa nchi? Mbona kufutwa hizo Habari na kutoandikwa kabisa uwezekano huo ni mkubwa sana mkuu kama wameamua lao?Yalikamatwa kenya na vyombo vya kenya pia viliandika kwa hiyo siri haikuwep...
Kutokujua kabuli la gavana lilipo hakufuti kuwa na yeye Magufuli anaweza kukosea. Hakuwa malaika yule na alikuwa na wateule wengi sana kama bwana bisalo ambao wangeweza kukosea na kama kawaida lawama zitarudi kwa aliyewateuaMbele ya Maraisi wa nchi? Mbona kufutwa hizo Habari na kutoandikwa kabisa uwezekano huo ni mkubwa sana mkuu kama wameamua lao?
Kaburi la aliyekuwa Gavana wetu enzi hizo aliyetorokea Ughaibuni unalijua lilipo?
Eti kaiba, kapeleka wapi pumbafu hawa.Hivi mnajua nyinyi maccm na vibaraka wa kumchafua mpigania haki na rasilimali za Tanzania kujaribu kumchafua JPM ni sawa na mtu kuweka mguu wake kwenye pango la siafu...
Kwa hiyo mtu akitangaza jiwe la dhahabu hawezi kuiba pia?Hivi mnajua nyinyi maccm na vibaraka wa kumchafua mpigania haki na rasilimali za Tanzania kujaribu kumchafua JPM ni sawa na mtu kuweka mguu wake kwenye pango la siafu...
Kama kuna dhambi inayomuunguza huko jehanamu huyu jkwe basi ni ile ya kusema uwongo.Mtu aliyekuwa mkweli kutoka moyoni
Mie nilimpenda sana kwa sababu alikuwa hawapendi watu wajingawajinga kama wewe,hakuna aliye mkamilifu chini ya jua tatizo la magufuli alikuwa anapenda sifa ili aonekane ni mwema ila nyuma ya pazia alikuwa mkatili sana tutamkumbuka kwa mabaya na wema wake pia
Mbona hilo dogo umesahau patatu ya makinikia mpaka akaja yule mzungu wa acacia wakafanya press release ikulu baada ya jamaa kufa kabudi anatuambia walikosea? Mzee yule jamaa alikua zaidi ya unavomfahamu .Alishirikiana na Uhuru Kenyata kutengeneza lile Igizo?
Maana waliongea kwa simu, mbele ya Camera. Mpaka mwamba akaomba yule Waziri wa Kenya (Pisi kali) abakie Tz[emoji851]
Sinema za hovyo ile kutokea Duniani. TZ ilionekana nchi ya wajinga awamu ile. Ati jiwe inakamatwa Kenya, hakuna alikamatwa na kushitakiwa. Uhusiano wa kidiplomasia ukabaki vilevile Na wanaendelea kupeana Tausi wetu. Inawezekanaje?Hivi mnajua nyinyi maccm na vibaraka wa kumchafua mpigania haki na rasilimali za Tanzania kujaribu kumchafua JPM ni sawa na mtu kuweka mguu wake kwenye pango la siafu?
Mtu aliyekuwa mkweli kutoka moyoni mwake, sote tunakumbuka ile skendo ya Madini yetu ambayo yalidakwa Kenya na kisha kurudishwa nchini, JPM kama angekuwa mwizi si angejichukulia hayo na kuamua kukaa zake kimya?
Eti kirahisi tu mje kuzusha aliiba siju wapi kule,
JPM kaondoka. Lakini matendo yake matukufu kwa nchi hii yanaishi mioyoni mwa watanzania mamilioni kulikoni hata mlio hai