Jiwe la dhahabu lilokamatwa Kenya na kurudishwa nchini kipindi cha JPM umma ulitangaziwa

Jiwe la dhahabu lilokamatwa Kenya na kurudishwa nchini kipindi cha JPM umma ulitangaziwa

Kutokujua kabuli la gavana lilipo hakufuti kuwa na yeye Magufuli anaweza kukosea. Hakuwa malaika yule na alikuwa na wateule wengi sana kama bwana bisalo ambao wangeweza kukosea na kama kawaida lawama zitarudi kwa aliyewateua.
Two wrongs don't make uo a right.
Lakini tujiulize mtu mchafu kama Biswalo anateuliwa kuwa Jaji,shida inaanzia kwa Biswalo au aliyempa U jaji wakati anajua huyu mtu ana skendo
 
hakuna aliye mkamilifu chini ya jua tatizo la magufuli alikuwa anapenda sifa ili aonekane ni mwema ila nyuma ya pazia alikuwa mkatili sana tutamkumbuka kwa mabaya na wema wake pia
Ulikuwepo huko nyuma ya pazia?
 
Magu alikuwa msanii kishenzii mwizi balaa alitumia wajinga kama wewe kujinufaisha pia alikuwa mafia kinyama
 
Hivi mnajua nyinyi maccm na vibaraka wa kumchafua mpigania haki na rasilimali za Tanzania kujaribu kumchafua JPM ni sawa na mtu kuweka mguu wake kwenye pango la siafu?

Mtu aliyekuwa mkweli kutoka moyoni mwake, sote tunakumbuka ile skendo ya Madini yetu ambayo yalidakwa Kenya na kisha kurudishwa nchini, JPM kama angekuwa mwizi si angejichukulia hayo na kuamua kukaa zake kimya?

Eti kirahisi tu mje kuzusha aliiba siju wapi kule,

JPM kaondoka. Lakini matendo yake matukufu kwa nchi hii yanaishi mioyoni mwa watanzania mamilioni kulikoni hata mlio hai
Propaganda zile dogo. Jpm alichofanimiwa ni kuua uhuru wa habari ili asihojiwe kwa lolote kwa hiyo hata alipiga fix hakuna mtu wa kuhoji. Siasa Ina mambo mengi sana ilikuwa mchongo ili aonekane mzalendo mbele za watu ili aibe zaidi na watu waendelee kusema haibi. Ndo mana Kaficha pesa china na Bado tutakuja ambiwa Kuna pesa zingine zipo Rwanda au DRC.
 
Yalikamatwa Kenya na vyombo vya kenya pia viliandika kwa hiyo siri haikuwepo.

Hakunaga malaika humu duniani na pia makosa yanayozungumziwa mengi yametendwa na wateule wake yeye anahusishwa kwakuwa ndiye aliyewateua.

Kila serikali ina madudu yake acha yasemwe tu maana hayakusema enzi zake kwa hofu sasa watayasema sasa.

Ana mengi mazuri yatakumbukwa na mabaya yapo yatasemwa.
Mbona hatuoni hao wasaidizi hatuoni wakikamatwa na kupelekwa mbele ya vyombo vya Sheria kama nikweli,? maana wasaidizi wake wote wapo mpaka wengine Samia kawateuwa kwenye vyeo vikubwa.
 
Mbele ya Maraisi wa nchi? Mbona kufutwa hizo Habari na kutoandikwa kabisa uwezekano huo ni mkubwa sana mkuu kama wameamua lao?

Kaburi la aliyekuwa Gavana wetu enzi hizo aliyetorokea Ughaibuni unalijua lilipo?
Linajurikana Sana tu Ila kilichomo ndo hatujuwi kama ni yeye

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mbona hatuoni hao wasaidizi hatuoni wakikamatwa na kupelekwa mbele ya vyombo vya Sheria kama nikweli,? maana wasaidizi wake wote wapo mpaka wengine Samia kawateuwa kwenye vyeo vikubwa.
Mbona tuhuma kwa jk na ridhiwan ni nyingi lakini hawajawahi kukamatwa na kupelekwa mahakamani, hadi ridhiwani ambaye anatuhumiwa sana kutumia cheo cha baba yake kupga deal bado kamati ya CCM chini ya JPM ilipitisha jina lake agombee ubunge, na mamake yake JPM alimteua kuwa mbunge wa viti maalum. So, hoja hapa ni kwamba nchi hii kuna kulindana sana.
 
Tuuma hizo zinatolewa nanini? hauwezi kuokoteza tuuma kwenye mitandao ya kijamii ukazigeuza za kweli kwenye mitandao ya kijamii tuuma nyingi ni uzushi,wengi waliokuwa wanazusha ni hao hao Chadema ambao Sasahivi wamepiga your turn.Akina Kikwete hawajawai kuundiwa tume ya bunge au ya wananchi hivyo Magufuli asingelifuata maneno ya vijiweni kuwaukumu.
 
Mkuu hebu nitajie ni waziri gani ambaye kwenye serikali iliyopita kabla yake ambaye akishiriki kuingia mikataba ya ajabu aliyokuwa anatwambia ambaye aliwahi kumpeleka mahakamni. Maana yeye ndiye alikuwa akisema juu ya hiyo mikataba ikiwa ina maana ushahidi alikuwa nao. Vipi yule jamaa wa NIDA hata mahakamani hakuwahi fikishwa...
Narudi pale pale, nchi hii viongozwi wakubwa huwa hawawajibishwi na yeye hakuwa malaika kuna madudu yapo ya serikali yake hata ukiletewa ushahidi utasema wanataka kumchafua maana mapenzi ni upofu. Anachokifanya samia kuwambia kilichokuwa nyuma hakina tofauti na kile alichokuwa akikifanya yeye kuwaambia madudu ya serikali ya jk tena madudu ambayo mengi hamkuwahi kuona ushahidi wake.
Raisi ni taasisi ana information nyingi kuliko raia wa kawaida.
 
Hivi mnajua nyinyi maccm na vibaraka wa kumchafua mpigania haki na rasilimali za Tanzania kujaribu kumchafua JPM ni sawa na mtu kuweka mguu wake kwenye pango la siafu?

Mtu aliyekuwa mkweli kutoka moyoni mwake, sote tunakumbuka ile skendo ya Madini yetu ambayo yalidakwa Kenya na kisha kurudishwa nchini, JPM kama angekuwa mwizi si angejichukulia hayo na kuamua kukaa zake kimya?

Eti kirahisi tu mje kuzusha aliiba siju wapi kule,

JPM kaondoka. Lakini matendo yake matukufu kwa nchi hii yanaishi mioyoni mwa watanzania mamilioni kulikoni hata mlio hai
we ulishawahi kuwa moyoni mwake? Mnafiki mkubwa usiye na aibu. Mfuateni alipo sahiv. Nyang'au huoni hata aibu kutuletea habari za binadamu katili, muuaji, mbaguzi km Magu? Shenz type!
 
Back
Top Bottom