CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Bimkubwa kajikanyaga sana katika hiliLakini tujiulize mtu mchafu kama Biswalo anateuliwa kuwa Jaji,shida inaanzia kwa Biswalo au aliyempa U jaji wakati anajua huyu mtu ana skendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bimkubwa kajikanyaga sana katika hiliLakini tujiulize mtu mchafu kama Biswalo anateuliwa kuwa Jaji,shida inaanzia kwa Biswalo au aliyempa U jaji wakati anajua huyu mtu ana skendo
magufuli alijichafua mwenyewe na ushaba wakeHivi mnajua nyinyi maccm na vibaraka wa kumchafua mpigania haki na rasilimali za Tanzania kujaribu kumchafua JPM ni sawa na mtu kuweka mguu wake kwenye pango la siafu?
Mtu aliyekuwa mkweli kutoka moyoni mwake, sote tunakumbuka ile skendo ya Madini yetu ambayo yalidakwa Kenya na kisha kurudishwa nchini, JPM kama angekuwa mwizi si angejichukulia hayo na kuamua kukaa zake kimya?
Eti kirahisi tu mje kuzusha aliiba siju wapi kule,
JPM kaondoka. Lakini matendo yake matukufu kwa nchi hii yanaishi mioyoni mwa watanzania mamilioni kulikoni hata mlio hai