Lakini tujiulize mtu mchafu kama Biswalo anateuliwa kuwa Jaji,shida inaanzia kwa Biswalo au aliyempa U jaji wakati anajua huyu mtu ana skendoKutokujua kabuli la gavana lilipo hakufuti kuwa na yeye Magufuli anaweza kukosea. Hakuwa malaika yule na alikuwa na wateule wengi sana kama bwana bisalo ambao wangeweza kukosea na kama kawaida lawama zitarudi kwa aliyewateua.
Two wrongs don't make uo a right.
Ulikuwepo huko nyuma ya pazia?hakuna aliye mkamilifu chini ya jua tatizo la magufuli alikuwa anapenda sifa ili aonekane ni mwema ila nyuma ya pazia alikuwa mkatili sana tutamkumbuka kwa mabaya na wema wake pia
Hii picha naiona sana what does it mean? AnyoneMitano tena kwakeView attachment 2502893
Pelekeni mahakamaniKutokujua kabuli la gavana lilipo hakufuti kuwa na yeye Magufuli anaweza kukosea. Hakuwa malaika yule na alikuwa na wateule wengi sana kama bwana bisalo ambao wangeweza kukosea na kama kawaida lawama zitarudi kwa aliyewateua.
Two wrongs don't make uo a right.
Kwani tuhuma za jk na mwanae kuhusu ufisadi washiwahi kupelekwa mahakamani? Mbona lakini wanasemwa sana.Pelekeni mahakamani
Mulitaka mumuite dhaifu?hakuna aliye mkamilifu chini ya jua tatizo la Magufuli alikuwa anapenda sifa ili aonekane ni mwema ila nyuma ya pazia alikuwa mkatili sana tutamkumbuka kwa mabaya na wema wake pia
Propaganda zile dogo. Jpm alichofanimiwa ni kuua uhuru wa habari ili asihojiwe kwa lolote kwa hiyo hata alipiga fix hakuna mtu wa kuhoji. Siasa Ina mambo mengi sana ilikuwa mchongo ili aonekane mzalendo mbele za watu ili aibe zaidi na watu waendelee kusema haibi. Ndo mana Kaficha pesa china na Bado tutakuja ambiwa Kuna pesa zingine zipo Rwanda au DRC.Hivi mnajua nyinyi maccm na vibaraka wa kumchafua mpigania haki na rasilimali za Tanzania kujaribu kumchafua JPM ni sawa na mtu kuweka mguu wake kwenye pango la siafu?
Mtu aliyekuwa mkweli kutoka moyoni mwake, sote tunakumbuka ile skendo ya Madini yetu ambayo yalidakwa Kenya na kisha kurudishwa nchini, JPM kama angekuwa mwizi si angejichukulia hayo na kuamua kukaa zake kimya?
Eti kirahisi tu mje kuzusha aliiba siju wapi kule,
JPM kaondoka. Lakini matendo yake matukufu kwa nchi hii yanaishi mioyoni mwa watanzania mamilioni kulikoni hata mlio hai
Mbona hatuoni hao wasaidizi hatuoni wakikamatwa na kupelekwa mbele ya vyombo vya Sheria kama nikweli,? maana wasaidizi wake wote wapo mpaka wengine Samia kawateuwa kwenye vyeo vikubwa.Yalikamatwa Kenya na vyombo vya kenya pia viliandika kwa hiyo siri haikuwepo.
Hakunaga malaika humu duniani na pia makosa yanayozungumziwa mengi yametendwa na wateule wake yeye anahusishwa kwakuwa ndiye aliyewateua.
Kila serikali ina madudu yake acha yasemwe tu maana hayakusema enzi zake kwa hofu sasa watayasema sasa.
Ana mengi mazuri yatakumbukwa na mabaya yapo yatasemwa.
Linajurikana Sana tu Ila kilichomo ndo hatujuwi kama ni yeyeMbele ya Maraisi wa nchi? Mbona kufutwa hizo Habari na kutoandikwa kabisa uwezekano huo ni mkubwa sana mkuu kama wameamua lao?
Kaburi la aliyekuwa Gavana wetu enzi hizo aliyetorokea Ughaibuni unalijua lilipo?
Yeye mwenyewe alikuwa ni jingalao au kubwa la majinga.Mie nilimpenda sana kwa sababu alikuwa hawapendi watu wajingawajinga kama wewe,
Mbona tuhuma kwa jk na ridhiwan ni nyingi lakini hawajawahi kukamatwa na kupelekwa mahakamani, hadi ridhiwani ambaye anatuhumiwa sana kutumia cheo cha baba yake kupga deal bado kamati ya CCM chini ya JPM ilipitisha jina lake agombee ubunge, na mamake yake JPM alimteua kuwa mbunge wa viti maalum. So, hoja hapa ni kwamba nchi hii kuna kulindana sana.Mbona hatuoni hao wasaidizi hatuoni wakikamatwa na kupelekwa mbele ya vyombo vya Sheria kama nikweli,? maana wasaidizi wake wote wapo mpaka wengine Samia kawateuwa kwenye vyeo vikubwa.
Tuuma hizo zinatolewa nanini? hauwezi kuokoteza tuuma kwenye mitandao ya kijamii ukazigeuza za kweli kwenye mitandao ya kijamii tuuma nyingi ni uzushi,wengi waliokuwa wanazusha ni hao hao Chadema ambao Sasahivi wamepiga your turn.Akina Kikwete hawajawai kuundiwa tume ya bunge au ya wananchi hivyo Magufuli asingelifuata maneno ya vijiweni kuwaukumu.Mbona tuhuma kwa jk na ridhiwan ni nyingi lakini hawajawahi kukamatwa na kupelekwa mahakamani, hadi ridhiwani ambaye anatuhumiwa sana kutumia cheo cha baba yake kupga deal bado kamati ya CCM chini ya JPM ilipitisha jina lake agombee ubunge, na mamake yake JPM alimteua kuwa mbunge wa viti maalum. So, hoja hapa ni kwamba nchi hii kuna kulindana sana.
Mkuu hebu nitajie ni waziri gani ambaye kwenye serikali iliyopita kabla yake ambaye akishiriki kuingia mikataba ya ajabu aliyokuwa anatwambia ambaye aliwahi kumpeleka mahakamni. Maana yeye ndiye alikuwa akisema juu ya hiyo mikataba ikiwa ina maana ushahidi alikuwa nao. Vipi yule jamaa wa NIDA hata mahakamani hakuwahi fikishwa...Tuuma hizo zinatolewa nanini? hauwezi kuokoteza tuuma kwenye mitandao ya kijamii ukazigeuza za kweli kwenye mitandao ya kijamii tuuma nyingi ni uzushi,wengi waliokuwa wanazusha ni hao hao Chadema ambao Sasahivi wamepiga your turn.Akina Kikwete hawajawai kuundiwa tume ya bunge au ya wananchi hivyo Magufuli asingelifuata maneno ya vijiweni kuwaukumu.
we ulishawahi kuwa moyoni mwake? Mnafiki mkubwa usiye na aibu. Mfuateni alipo sahiv. Nyang'au huoni hata aibu kutuletea habari za binadamu katili, muuaji, mbaguzi km Magu? Shenz type!Hivi mnajua nyinyi maccm na vibaraka wa kumchafua mpigania haki na rasilimali za Tanzania kujaribu kumchafua JPM ni sawa na mtu kuweka mguu wake kwenye pango la siafu?
Mtu aliyekuwa mkweli kutoka moyoni mwake, sote tunakumbuka ile skendo ya Madini yetu ambayo yalidakwa Kenya na kisha kurudishwa nchini, JPM kama angekuwa mwizi si angejichukulia hayo na kuamua kukaa zake kimya?
Eti kirahisi tu mje kuzusha aliiba siju wapi kule,
JPM kaondoka. Lakini matendo yake matukufu kwa nchi hii yanaishi mioyoni mwa watanzania mamilioni kulikoni hata mlio hai
Kapeleka China hujasikia au ni slow learner weye?Eti kaiba, kapeleka wapi pumbafu hawa.
Wanachotaka kusema wao hawajidai hawaibi kama yeye ila wanaiba. Aliwaambia kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake ya mbuzi
Mafisadi papa wakigawana nyaraMitano tena kwakeView attachment 2502893