scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
Huku nilipo nasikia dini inakataza kila nyumba kuna single maza mwenye watoto wawiliHizi dini pia zinachangia,
Mabint wanafundishwa kuzikataa condom, vijana wanaelekezwa kutokumwagia nje.
Huwez mwambia mtu asitumie Kinga na asimwage nje wkt mtu mwnyw anajijua kbs he's not committed to marriage. yaani "Hapa nasuuza rungu TU"
Matokeo yake Ni single mothers pamoja na watoto wa mitaani.
Wana shida mbaya sanaHuku nilipo nasikia dini inakataza kila nyumba kuna single maza mwenye watoto wawili
Go to hell ๐คฃ๐Nimekutolea mfano wa mtoto mchanga ila ni yeye bibi yako ndio nimemuweka,baada ya mihangaiko mchana kutwa na jua kali la tandale baaasi tunakonyezana tu hapa
Huku nilipo nasikia dini inakataza kila nyumba kuna single maza mwenye watoto wawili
Kanisa halihusiki ni mafundisho tu kwamba zana haziruhusiwi na pia njia za uzazi wa mpango hazitakiwa cha ajabu ni jamii nzima inaamini hivoOna sasa, ujinga gani huu.
Hao single maza na watoto wao kanisa linawatunza au nalo limewatelekeza?
Aisee hizi dini kasheshe, bila kutumia Akili. Lazima uchanganyweOna sasa, ujinga gani huu.
Hao single maza na watoto wao kanisa linawatunza au nalo limewatelekeza?
Jamii ibadilike
Ni kweli, as long as ni ya muhimu. Tilia mkazo.Mambo ni mengi muda mchache
Lazima ulie, ila kime kuliza kipi??๐Ni matokeo ya kuzaa bila kujipanga (kukurupuka)
Nimelia sana ๐ซ
Watoto wavyo hangaika kwa kosa ambalo sio lau mkuuLazima ulie, ila kime kuliza kipi??๐
Kabisa.Ni kweli, as long as ni ya muhimu. Tilia mkazo.
Ni kweli, Inge wezekana kila mwenye mtoto apigwe radi, tunge shuhudia maajabu๐Watoto wavyo hangaika kwa kosa ambalo sio lau mkuu
Recipe ya chakula huandiki Tena ๐Kabisa.
Muda ndio wanibana natamani kuandika.Recipe ya chakula huandiki Tena ๐