scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
Huku nilipo nasikia dini inakataza kila nyumba kuna single maza mwenye watoto wawiliHizi dini pia zinachangia,
Mabint wanafundishwa kuzikataa condom, vijana wanaelekezwa kutokumwagia nje.
Huwez mwambia mtu asitumie Kinga na asimwage nje wkt mtu mwnyw anajijua kbs he's not committed to marriage. yaani "Hapa nasuuza rungu TU"
Matokeo yake Ni single mothers pamoja na watoto wa mitaani.