Jizuie kuzaa au kuzalisha ikiwa huwezi kutunza wanao au familia yako

Jizuie kuzaa au kuzalisha ikiwa huwezi kutunza wanao au familia yako

Hizi dini pia zinachangia,

Mabint wanafundishwa kuzikataa condom, vijana wanaelekezwa kutokumwagia nje.

Huwez mwambia mtu asitumie Kinga na asimwage nje wkt mtu mwnyw anajijua kbs he's not committed to marriage. yaani "Hapa nasuuza rungu TU"

Matokeo yake Ni single mothers pamoja na watoto wa mitaani.
Huku nilipo nasikia dini inakataza kila nyumba kuna single maza mwenye watoto wawili
 
Ona sasa, ujinga gani huu.
Hao single maza na watoto wao kanisa linawatunza au nalo limewatelekeza?
Kanisa halihusiki ni mafundisho tu kwamba zana haziruhusiwi na pia njia za uzazi wa mpango hazitakiwa cha ajabu ni jamii nzima inaamini hivo
 
Back
Top Bottom