Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #61
Tena ogopa masikini wa fikra, ana weza mbaka mbuzi ili atajirike😆Masikini ni MTU aliyekosa maono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena ogopa masikini wa fikra, ana weza mbaka mbuzi ili atajirike😆Masikini ni MTU aliyekosa maono
Kutokuzaa na watoto wa kali ni uzembeEquation x Kwan yy anasemaje katk hilii😂😂😂😂 karibu mkuu nimekukumbuka maana nimeona Uzi wako watt wakaliiiiii umezaa nao
Huyo jomba ni kichwa Nazi😆🤣Equation x Kwan yy anasemaje katk hilii😂😂😂😂 karibu mkuu nimekukumbuka maana nimeona Uzi wako watt wakaliiiiii umezaa nao
Kuna Jamaa namjua na watoto zaidi ya 13 na wote mama tofauti.
Huwa namtizama na kuwaza ana jisikiaje??.
Maana watoto ndala tu kupata ni kasheshe.
Tena ogopa masikini wa fikra, ana weza mbaka mbuzi ili atajirike😆
Watoto wata kula nywele zako??Kutokuzaa na watoto wa kali ni uzembe
Uko sahihi mkuu.Umasiki huanzia ktk fikra , imagination
Changamoto kubwa ndo hiyo huwezi kuitazama miaka mitano mbele.
Pia na fixed mindset na yenyewe ni ugonjwa wa masikini.
Yaan n mvuruganoo 😂😂😂Huyo jomba ni kichwa Nazi😆🤣
Yaanii 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌Nilitaka nikuite kumbe ushafika wizo 🤣🤣🤣
Toka umwambie unataka kumzalia bac anashusha minyuzi heavy yenye madini..!!
Pacha hi 👋 😜
Ila uwatunzee mkuuu wanguu au cyooKutokuzaa na watoto wa kali ni uzembe
Ain't chasing any skirts ka mbuzi, ila kwa vile ni style yako it's up to you.Kula mbususu kijana usiogope kuweka mimba.
Naona una pigia mbuzi Gitaa 😆🤣Ila uwatunzee mkuuu wanguu au cyoo
Mali inapatikana shambaniWatoto wata kula nywele zako??
Aisee ujinga wako ni special case😆🤣Mali inapatikana shambani
Uko sahihi, katika kitu Ninacho penda ni watoto.Watoto ni Baraka nimefundishwa tangu nikiwa mdogo