JJ Mnyika na Esther Bulaya Live: Star TV

JJ Mnyika na Esther Bulaya Live: Star TV

CCM wanapenda sana kucheza mind games, na hili la kura nina hisia hizo pia
 
Esther Bulaya yuko vizuri katika hoja zake, namkubali ni mzalendo.
 
Tatizo lako sijui ni ufahamu mdogo wa lugha ya kiingereza au basi tu nawe uonekane umepost kwenye thread husika..!? Kusema "I love you" haimaanishi kumpenda mtu kimapenzi pekee bali pia upendo uliopitiliza kutokana na mambo anayofanya au aliyofanya. Vile vile hutumika kuelezea upendo kwa watu wako wa karibu kama Baba, Mama, Dada, Kaka na Mtoto.

Hata kama ni kimapenzi kwani nini?!She also looks beautiful na anatamanisha!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom