JK alimleta Dangote, Rais Samia mlete Elon Musk, bilionea namba moja duniani ambaye mabilioni yanamchanganya na anayewaza kuwekeza Mars

Elon anawaza kupindua meza yaani kufanya vitu unique au vya pekee ili ajijengee heshima

Hapo ndio wazungu wametuzidi akili!! Mnasema mama Samia amlete Elon Musk wakati Elon yupo Bongo siku nyingi!!! Amewekeza kwa mgongo wa kampuni moja ya madini ambapo sidhani kama serikali wanajua yumo!!!
 
Elon ni mjanja mjanja tu, a napenda kutengeneza hype lakini sio innovator mzuri.

Pia anatoka Africa, sio kwamba hakujui huku.
 
Mkuu, kwani kuwa na pesa nyingi mpaka usijue nini cha kufanyia nayo unaweza kuita ni "Financial Crisis?"
Mi nazani utajili wake umekuja gafla na kikubwa anategemea raslimali za Congo kwenye utengenezaji wa Gari za umeme. Na Congo to tz NI karibu Sana. NI diplomas na ombi tu anatua bongo
 
Awe huyo tajiri anavuta bangi,au havuti sisi hatuna shida...sie mradi atuwezeshe kwa kuwekeza kulingana mazingira ya win-win situation, sie tupate na yeye apate basi, tusonge mbele........mambo 'yenu' hayo ndo kama zile propaganda zenu za kuita watu'mabeberu', wakati' pesa yao usiku mnapiga magoti na mnaipokea iwasaidie kujenga vyoo vya matundu ya shule...... ...kazi kwelikweli.... mambo ya kiburi cha 'tajiri maskini' enzi karne hizi nafasi yake ni ndogo,kama kweli unataka upige hatua ya maendeleo endelevu.....kazi iendelee.

Mtamuweza huyo mvuta bangi?
 
What a stupid idea!
 
Hapo ndio wazungu wametuzidi akili!! Mnasema mama Samia amlete Elon Musk wakati Elon yupo Bongo siku nyingi!!! Amewekeza kwa mgongo wa kampuni moja ya madini ambapo sidhani kama serikali wanajua yumo!!!
We umejuaje Mkuu upo kwenye bodi ya Wakurugenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…