JK alimleta Dangote, Rais Samia mlete Elon Musk, bilionea namba moja duniani ambaye mabilioni yanamchanganya na anayewaza kuwekeza Mars

JK alimleta Dangote, Rais Samia mlete Elon Musk, bilionea namba moja duniani ambaye mabilioni yanamchanganya na anayewaza kuwekeza Mars

Elon anawaza kupindua meza yaani kufanya vitu unique au vya pekee ili ajijengee heshima

Hapo ndio wazungu wametuzidi akili!! Mnasema mama Samia amlete Elon Musk wakati Elon yupo Bongo siku nyingi!!! Amewekeza kwa mgongo wa kampuni moja ya madini ambapo sidhani kama serikali wanajua yumo!!!
 
Elon hawazi Faida mkuu

Elon anawaza kupindua meza yaani kufanya vitu unique au vya pekee ili ajijengee heshima

Anawaza watu kwenda kwenye mwezi au Sayari ya Mars iwe ni usafiri wa kawaida tu kama unavyotoka Tanzania kwenda Marekani

Ana waza mtu aweze kusafiri kwa kasi zaidi kuliko sasa anavyosafiri kwa ndege

Ana waza ukifumba macho toka Airport Dar ukifumbua ndani ya Dk moja uwe Marekani

Elon anawekeza kwenye Tafiti za kipekee
Elon ni mjanja mjanja tu, a napenda kutengeneza hype lakini sio innovator mzuri.

Pia anatoka Africa, sio kwamba hakujui huku.
 
Mkuu, kwani kuwa na pesa nyingi mpaka usijue nini cha kufanyia nayo unaweza kuita ni "Financial Crisis?"
Mi nazani utajili wake umekuja gafla na kikubwa anategemea raslimali za Congo kwenye utengenezaji wa Gari za umeme. Na Congo to tz NI karibu Sana. NI diplomas na ombi tu anatua bongo
 
Awe huyo tajiri anavuta bangi,au havuti sisi hatuna shida...sie mradi atuwezeshe kwa kuwekeza kulingana mazingira ya win-win situation, sie tupate na yeye apate basi, tusonge mbele........mambo 'yenu' hayo ndo kama zile propaganda zenu za kuita watu'mabeberu', wakati' pesa yao usiku mnapiga magoti na mnaipokea iwasaidie kujenga vyoo vya matundu ya shule...... ...kazi kwelikweli.... mambo ya kiburi cha 'tajiri maskini' enzi karne hizi nafasi yake ni ndogo,kama kweli unataka upige hatua ya maendeleo endelevu.....kazi iendelee.

Mtamuweza huyo mvuta bangi?
 
Kwenye hao wanadiplomasia wa kumshawishi Elon awepo Irene Uwoya na Sanchoka. Nawasilisha hoja.
mwanadiplomasia nguli Bi Sanchoka
sunchi_world_20210812_225721_0.jpg
 
Utajili wa Dangote ni mkubwa Sana kwa Afrika. Kwa uwekezaji wake wa kiwanda kimoja tu Cha cement alifanikiwa Sana kuukuza uchumi na kupúnguza Bei ya cement na kuikuza sekta ya ujenzi Tanzania.

Ila Kuna ili jini la sasaivi tajili lisiloshikika duniani Mtengenezaji wa gari la umeme Tesla na Meneja Mwandamizi wa SpaceX Elon Musk.

NI mtu mwenye interest Sana na uundaji wa vyombo vya usafiri, Vifaa vya umeme Yani betri za magari ya kuchaji na magari hurushwa vyombo vya kwenda Anga za mbali ambaye anawaza kufanya uwekezaji Mars.

Nadhani ni wakati muafaka Rais atumie Wanadipromasia wabobezi wamshawishi badala ya kuwaza kwenda Mars kuwekeza awekeze Tanzania kwenye treni ya umeme, uzalishaji umeme ata wa nyuklia na kuuza Afrika yote. Tanzania ni sehemu salama Sana na ipo karibu na keki ya dunia Kongo mwali aliyegombaniwa na mabeberu tangu na tangu.

Kwa wasiomjua mtu huyu utajili wake akiutumia kwa asilimia 5% tu anajenga reli yote ya umeme Dar to Mwanza mpaka Kigoma standard ya umeme. Utajili wake ni Mara ishirini ya Dangote na anachotafuta Sasa NI kufanya kitu ambacho akuna billionea anaweza au kuwaza kufanya.

Basi kitu icho kiwe NI kuifanya Tz kuwa Marekani mpya. Utajili wake akiuuza wote anaweza kulipa mshahara wa Sasa wa watumishi wa Uma wa Tanzania kwa miaka 60 ndipo zinaisha.
What a stupid idea!
 
Hapo ndio wazungu wametuzidi akili!! Mnasema mama Samia amlete Elon Musk wakati Elon yupo Bongo siku nyingi!!! Amewekeza kwa mgongo wa kampuni moja ya madini ambapo sidhani kama serikali wanajua yumo!!!
We umejuaje Mkuu upo kwenye bodi ya Wakurugenzi
 
Back
Top Bottom